Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Kama wanafikiri wako sahihi na kwamba huo ndio uzalendo, muda utawapa funzo siku si nyingi pale kila mtu atapoanza kuathirila kwa namna moja au nyingine.
Mfano, watakosa madaktari wa kuwatibu wao na familia zao, watakosa muda wa kwenda bar na kunywa pombe, watashindwa kuendesha biashara zao, wataanza kupokea stahiki zao kwa kuchelewa, watazika wazazi wao, ndugu zao na jamaa zao,.
Pia, watanunua vyakula na bidhaa nyingine kwa bei kubwa, wataathirika na huduma mbovu za kijamii kama vile upatikanaji mzuri wa maji na umeme, watalazimika kushinda zaidi makambini, n.k
Kwa kifupi, wote tutaongea lugha moja.
Time will tell.