Nathan Jr
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 1,437
- 1,883
Hilo nimeona halina ubishi, wanaume wengi uingia kingi na kudhani kapata mwananke mrembo ama kupitia Badoo,Facebook ama instagram. Na hiyo ni kwa sababu ya picha lakin akikutana naye kituko
Tumbo kubwa, nyumba flat Android tv screen, viwiko vyeusi, na kadharika nikagundua kwamba
Uzuri wa baadhi ya wa Dada kwa social media inategemeana na ubora wa camera ya simu yake
Je umewahi ingia mkenge juu ya picha ya mtandao?