Kwanini mkuuMada hainihusu mi napita tu
Mbona povuNinyi pia CV zenu za uongo , kwenye social media kila mmoja amesoma mpaka chuo kikuu tena UDSM siyo Udom au Stemuko vya kata,
Kila mtu Ana gari kali hasa hapa Jf
Kila mmoja ni diaspora,
Kila mwanaume anapiga show ya kibabe hasa kuLe MMU kumbe wengine wana vipande vya vibamia,
Yalinikuta MK pubHata mademu wa kuopoa club ilinikuta asubuhi ni tofauti na ulivyomuona usiku
MatapeliHahahaaaa si mchezo ngoma nzito.....ila kwenye picha kama edited 360 si inaonekana kwamba pimping kwenye photo imefanyika.
Mademu kwenye mitandao wote wazuri na weupe kwahiyo akili kumkichwa ukilemaa unaachwa ferry.Matapeli
Duh yameshanikuta sanaMademu kwenye mitandao wote wazuri na weupe kwahiyo akili kumkichwa ukilemaa unaachwa ferry.
πππ acha tu mkuu unaweza kutimua mbio asubuhiHata mademu wa kuopoa club ilinikuta asubuhi ni tofauti na ulivyomuona usiku
HatareeeView attachment 889639View attachment 889639
Nilikutana na huyu manzi kwenye project moja,nusu nikimbie watu wakanishika
Hahahaπππ acha tu mkuu unaweza kutimua mbio asubuhi
mkuu mbona unanisema mbele ya kadamnasi hivyoNinyi pia CV zenu za uongo , kwenye social media kila mmoja amesoma mpaka chuo kikuu tena UDSM siyo Udom au Stemuko vya kata,
Kila mtu Ana gari kali hasa hapa Jf
Kila mmoja ni diaspora,
Kila mwanaume anapiga show ya kibabe hasa kuLe MMU kumbe wengine wana vipande vya vibamia,
mkuu kwanini?View attachment 889639View attachment 889639
Nilikutana na huyu manzi kwenye project moja,nusu nikimbie watu wakanishika