Uzuri wa baadhi ya wadada kwa social media unategemeana na ubora wa kamera ya simu zao

bila shaka umeguswa
 
Punguza kuongea ukwel dadang
 
Pole kwa yalio kukuta
 
Shikamooo
 
'Aliyeuza cheni kauza cheni bandia na aliyenunua cheni naye kalipa fedha bandia' Ngoma droo.

Pata kinywaji mwanakwetu, nakuja kulipa!
 
Mwingne hata ajiedt vp bd n kituko, Unakutana na midole ya miguu kama Mafungu ya tangawizi, kajaza mihereni kila kona, akianguka utadhan kengere ya uji ya ile shule yetu ya primary enz zile kule ushirombo, usiombee apige chafya ile anajivuta apige "NNNNCHAAAAA!!!!" ukimwangalia usoni utakutana na uso ambao utaamin kweli binadamu tumetoka kwenye evolution, Zinjatropus akasome, Akilala akiamka utakutana na uso kama papai huku umeshuka chin kama pumb zilizopigwa na jua/joto
 
Hehehe
 
'Aliyeuza cheni kauza cheni bandia na aliyenunua cheni naye kalipa fedha bandia' Ngoma droo.

Pata kinywaji mwanakwetu, nakuja kulipa!
Ukilemaa..umeachwa.ferii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…