Uchaguzi 2020 Uzuri wa CCM huwa hawana papara

Nimekuelewa mkuu,

Hawa miaka yote wako hivi hivi na hawajifunzi.

Wasubirie kipigo kingine kama kawaida yao.
 
Sio kwa kipindi hiki mkuu hali sio Hali mkuu
 
CCM sisi ni wapole wanyenyekevu ila tuko hatua 100 mbele yao 28 october tunachukua tunaweka waaa
 
 
Kwa kipindi hiki itawawiwa ugumu kidogo kwa sababu vile vichwa havipo front line tena.

Kwa namna yoyote CCM watatumia ubabe kushinda uchaguzi, hawana hoja za kuweza kushawishi tena Wananchi.

Yule mzungu Robert Amsterdam ana sehemu kubwa sana kwenye uchaguzi huu.

JPM kwa sasa anategemea pesa za AFDB ambayo wamiliki wake ni USA na UK.

Sasa itategemea Amsterdam na ushawishi na channel kiasi gani kwenye Congres na EU.

Kama ningekuwa JPM ningemake peace na watu, maana hata akishinda miradi yake hatoweza kuimaliza kwa wakati, maana kutaweza kuwa Vikwazo vya kiuchumi.
 
Kuna Kuzaliwa kuishi na kufa.....kuna Mwanzo na mwisho.... Wapo waliyoiona ccm ikizaliwa, wengine wakaikuta na kuishi nayo na kuna siku wapo watakaothimuliwa hadithi zake...
 
Mzungu ana sehemu kubwa ya uchaguzj wa TZ.....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ngozi nyeusi bhana sijui tukoje

Viva Magu 2020 to 2030
 
Tusiingee mengi tusubiri tuone. Bado mwezi tu.

Ila mark my words, Robert Amsterdam kariri hili jina vizuri.
 
CCM WAMEKUA WALEMAVU WAMEBAKIZA TEGEMEO LAO NI TUME NA SERIKALI MWAKA HUU HUYU SIO LOWASSA HUYU NI LISSU YE AKAE HATA NA NANI LISSU AKIPITA CAP 343 NA 292 ZINABADILISHWA
 
Haya hizi kata za ccm eti
 
Hawana Sera Sera zao no hizi huyu ni mgombea
 
26 September 2020
Mara, Tanzania

Tundu Lissu Aingia MUSOMA KIBABE Mvua Inanyesha

 
Shida mnajifanya vipofu sana mnantoa Mchina na Mrusi kwenye hii picha....hao pia nao ni invisible hand na kumbuka kwa sasa ile hali kama ya kipindi cha vita baridi imerudi.......CCM kutulia hivi sio bure
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…