Uchaguzi 2020 Uzuri wa CCM huwa hawana papara

Uchaguzi 2020 Uzuri wa CCM huwa hawana papara

Nimekuelewa mkuu,

Hawa miaka yote wako hivi hivi na hawajifunzi.

Wasubirie kipigo kingine kama kawaida yao.
 
CCM bwana kama hawapo hivi iwe humu kwenye mitandao ya kijamii ajabu ni wazuri mno kwenye mipira iliyokufa.

Jamaa hutembea hatua 100 mbele ya wenzao na kamwe huwa si wajuzi wa kubishana bali hunena kwa vitendo zaidi.

Ulingo wote wa mitandao karibia umeshikwa na wapiga story wa Lissu na huku wakisahaulishwa na wenyewe kuita mafuriko ya Watanzania kwenye mikutano ya kampeni ya mpendwa wao huku wakisahau field kukoje, hahaha!

Ukweli ni kwamba wana CCM wengi hawawezi kubisha kwa kutokwa na mishipa.

Wana CCM hawanaga ubavu wa kupoteza muda kuvimbiana humu mitandaoni na wapinzani wao.

Wana CCM wengi huwa na aibu ya maneno makali ya wapinzani wao.

Wana CCM wengi ni wenye Ajira na kwalo huwafanya wawe busy na shughuli zao na hupuuza mabishano yasiyo na tija.

Ajabu ya CCM pamoja na yote hayo mwisho wa mbio huwa wa kwanza!

Povu ruksa!
Sio kwa kipindi hiki mkuu hali sio Hali mkuu
 
CCM sisi ni wapole wanyenyekevu ila tuko hatua 100 mbele yao 28 october tunachukua tunaweka waaa
1601139539143.png
 
CCM bwana kama hawapo hivi iwe humu kwenye mitandao ya kijamii ajabu ni wazuri mno kwenye mipira iliyokufa.

Jamaa hutembea hatua 100 mbele ya wenzao na kamwe huwa si wajuzi wa kubishana bali hunena kwa vitendo zaidi.

Ulingo wote wa mitandao karibia umeshikwa na wapiga story wa Lissu na huku wakisahaulishwa na wenyewe kuita mafuriko ya Watanzania kwenye mikutano ya kampeni ya mpendwa wao huku wakisahau field kukoje, hahaha!

Ukweli ni kwamba wana CCM wengi hawawezi kubisha kwa kutokwa na mishipa.

Wana CCM hawanaga ubavu wa kupoteza muda kuvimbiana humu mitandaoni na wapinzani wao.

Wana CCM wengi huwa na aibu ya maneno makali ya wapinzani wao.

Wana CCM wengi ni wenye Ajira na kwalo huwafanya wawe busy na shughuli zao na hupuuza mabishano yasiyo na tija.

Ajabu ya CCM pamoja na yote hayo mwisho wa mbio huwa wa kwanza!

Povu ruksa!
[/QUOTE

Asili ya viumbe viumbe vyote vilivyoumbwa na Mungu vinapenda kutendewa haki.

Kushughulikia Kiumbe kimbe kisichotenda haki ni thawabu.
Ukubwa sasa wa Upinzani nguvu ya umma waliyonayo sio ya kukaa kimya na kuangaliwa wakiwa wanatendewa dhulma huku wakiuawa na kuteswa na binadamu wenzao wenye roho na nyaka kama wao.
CCM hawataki kabisa kusikia neno uchaguzi wa Haki.

Mbinu wanayoitegemea ni dhulma na wizi wa kura na kutumia wasimamizi wa uchaguzi kubadili matokeo.

Kumdhibiti mwovu yeyote ni haki na jambo jema kwenye jamii yoyote tangu kuumbwa kwa dunia.
Ingekua Madaraja na mandege ni muhimu kwa viumbe hai basi Wanyama wangehamia mijini.

CCM wasitegemee uchaguzi wa dhulma mwaka huu. Na atakayeshinda atangazwe mana wote ni watanzania. Pamoja na ubaya wote wa CCM na wizi walioufanya kwa miaka 58 lakini tumewavumilia huku wao wakiwa wananeemeka na familia zao kwa wizi na dhulma kubwa.
Sasa ni zamu yetu wananchi kuwakataa kuwanyima kura.

Hakuna jambo baya kama kuacha dhulma ishamiri kwenye nchi aliyotupa Mungu.
CCM ni jina tu la Chama wanakojificha waovu na watu wabinafsi ,wauaji wasio na utu wala huruma. Ni wakati sasa wa kuondoa uovu kwenye nchi hii kwa kuwafurumisha wakurugenzi wote wanaochezea amani ya nchi huku wao wakiendelea kuneemeka na familia zao. Hatuweze kuwa na amani bila haki.
Awamu hii ya tano imekua ya ajabu sana kwa Wateule wa mkuu wa nchi kushindana kwa kufanya unyama kwa binadamu wenzao kama sifa ya kupandishwa vyeo na kusalia madarakani. Hii itaendelea mpaka lini.?
Nani angejua kuwa Bashiru Ally na Polepoele ni viumbe wakatili kiasi hicho? Mungu atawajibu siku moja mana wameamua kuinua taia hili kwa kutenda unyama .
 
Kwa kipindi hiki itawawiwa ugumu kidogo kwa sababu vile vichwa havipo front line tena.

Kwa namna yoyote CCM watatumia ubabe kushinda uchaguzi, hawana hoja za kuweza kushawishi tena Wananchi.

Yule mzungu Robert Amsterdam ana sehemu kubwa sana kwenye uchaguzi huu.

JPM kwa sasa anategemea pesa za AFDB ambayo wamiliki wake ni USA na UK.

Sasa itategemea Amsterdam na ushawishi na channel kiasi gani kwenye Congres na EU.

Kama ningekuwa JPM ningemake peace na watu, maana hata akishinda miradi yake hatoweza kuimaliza kwa wakati, maana kutaweza kuwa Vikwazo vya kiuchumi.
 
Kuna Kuzaliwa kuishi na kufa.....kuna Mwanzo na mwisho.... Wapo waliyoiona ccm ikizaliwa, wengine wakaikuta na kuishi nayo na kuna siku wapo watakaothimuliwa hadithi zake...
 
Mzungu ana sehemu kubwa ya uchaguzj wa TZ.....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ngozi nyeusi bhana sijui tukoje

Viva Magu 2020 to 2030
Kwa kipindi hiki itawawiwa ugumu kidogo kwa sababu vile vichwa havipo front line tena.

Kwa namna yoyote CCM watatumia ubabe kushinda uchaguzi, hawana hoja za kuweza kushawishi tena Wananchi.

Yule mzungu Robert Amsterdam ana sehemu kubwa sana kwenye uchaguzi huu.

JPM kwa sasa anategemea pesa za AFDB ambayo wamiliki wake ni USA na UK.

Sasa itategemea Amsterdam na ushawishi na channel kiasi gani kwenye Congres na EU.

Kama ningekuwa JPM ningemake peace na watu, maana hata akishinda miradi yake hatoweza kuimaliza kwa wakati, maana kutaweza kuwa Vikwazo vya kiuchumi.
 
Tusiingee mengi tusubiri tuone. Bado mwezi tu.

Ila mark my words, Robert Amsterdam kariri hili jina vizuri.
 
CCM WAMEKUA WALEMAVU WAMEBAKIZA TEGEMEO LAO NI TUME NA SERIKALI MWAKA HUU HUYU SIO LOWASSA HUYU NI LISSU YE AKAE HATA NA NANI LISSU AKIPITA CAP 343 NA 292 ZINABADILISHWA
 
CCM ni Chama kilichojijenga na Ina misingi Imara kuanzia kwenye Kata na Mashina, Ushindi unatafutwa kila sehemu sio Mijini kama CDM.

Et wao wanaishia kwenye Makao makuu ya Mikoa tu alafu wategemee was hindu uchaguzi na kuacha wapiga kura wengi Vijijini.

Kila siku wao ni Kushinda Twitter kutukana wanadhani kura zinapatikana Twitter?

Kuchukua dola watasikia kwenye Bomba mwaka huu.
Haya hizi kata za ccm eti
tapatalk_1601122712765.jpeg
IMG_20200926_163552.jpeg
IMG_20200926_165253.jpeg
IMG_20200907_220100.jpeg
 
Sema CCM pumzi imekata mapema.
Mkakati wa kutumia wasanii 200 umefeli vibaya.

Mkakati wa kutumia ilani yenu umefeli.
Mkakati wa kumjibu Lissu nao umefikia tamati.

Sasa namna mmezindua mkakati mpya wa kutukana wapinzani. Pole Pole ndio amesema mnaokwenda nao kwa sasa.
Hawana Sera Sera zao no hizi huyu ni mgombea
IMG_20200926_161848.jpeg
 
26 September 2020
Mara, Tanzania

Tundu Lissu Aingia MUSOMA KIBABE Mvua Inanyesha

Kwa kipindi hiki itawawiwa ugumu kidogo kwa sababu vile vichwa havipo front line tena.

Kwa namna yoyote CCM watatumia ubabe kushinda uchaguzi, hawana hoja za kuweza kushawishi tena Wananchi.

Yule mzungu Robert Amsterdam ana sehemu kubwa sana kwenye uchaguzi huu.

JPM kwa sasa anategemea pesa za AFDB ambayo wamiliki wake ni USA na UK.

Sasa itategemea Amsterdam na ushawishi na channel kiasi gani kwenye Congres na EU.

Kama ningekuwa JPM ningemake peace na watu, maana hata akishinda miradi yake hatoweza kuimaliza kwa wakati, maana kutaweza kuwa Vikwazo vya kiuchumi.
Shida mnajifanya vipofu sana mnantoa Mchina na Mrusi kwenye hii picha....hao pia nao ni invisible hand na kumbuka kwa sasa ile hali kama ya kipindi cha vita baridi imerudi.......CCM kutulia hivi sio bure
...
 
Back
Top Bottom