Uchaguzi 2020 Uzuri wa CCM huwa hawana papara

Shida mnajifanya vipofu sana mnantoa Mchina na Mrusi kwenye hii picha....hao pia nao ni invisible hand na kumbuka kwa sasa ile hali kama ya kipindi cha vita baridi imerudi.......CCM kutulia hivi sio bure
...
Kweli kabisa, na kuna siku niliwahi kusema naona ndoto(Bandari) ya watu wa Bagamoyo inatimia muda si mrefu.

Ila kama unakumbuka Njugai aliwahi kumshauri waungane na China ila pesa ya Afdb ilikuwa tamu.

Swali linakuja, je ile win win situation anaiyoitakaga bwana kubwa ataipata kwa Mchina Mrusi na Irani?
 
Win win inawezekana...hao jamaa wanaangalia pia we mwenyewe unavyojitambua....wakikuona zobazoba nao wanakupiga ila wakiona mpo level sawa ni haki bin haki
 
Win win inawezekana...hao jamaa wanaangalia pia we mwenyewe unavyojitambua....wakikuona zobazoba nao wanakupiga ila wakiona mpo level sawa ni haki bin haki
Lakini option itaendana na kubadilisha katiba kuongeza kipindi.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…