mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,734
- 1,616
Kweli kabisa, na kuna siku niliwahi kusema naona ndoto(Bandari) ya watu wa Bagamoyo inatimia muda si mrefu.Shida mnajifanya vipofu sana mnantoa Mchina na Mrusi kwenye hii picha....hao pia nao ni invisible hand na kumbuka kwa sasa ile hali kama ya kipindi cha vita baridi imerudi.......CCM kutulia hivi sio bure
...
Ila kama unakumbuka Njugai aliwahi kumshauri waungane na China ila pesa ya Afdb ilikuwa tamu.
Swali linakuja, je ile win win situation anaiyoitakaga bwana kubwa ataipata kwa Mchina Mrusi na Irani?