jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
CCM bwana kama hawapo hivi iwe humu kwenye mitandao ya kijamii ajabu ni wazuri mno kwenye mipira iliyokufa.
Jamaa hutembea hatua 100 mbele ya wenzao na kamwe huwa si wajuzi wa kubishana bali hunena kwa vitendo zaidi.
Ulingo wote wa mitandao karibia umeshikwa na wapiga story wa Lissu na huku wakisahaulishwa na wenyewe kuita mafuriko ya Watanzania kwenye mikutano ya kampeni ya mpendwa wao huku wakisahau field kukoje, hahaha!
Ukweli ni kwamba wana CCM wengi hawawezi kubisha kwa kutokwa na mishipa.
Wana CCM hawanaga ubavu wa kupoteza muda kuvimbiana humu mitandaoni na wapinzani wao.
Wana CCM wengi huwa na aibu ya maneno makali ya wapinzani wao.
Wana CCM wengi ni wenye Ajira na kwalo huwafanya wawe busy na shughuli zao na hupuuza mabishano yasiyo na tija.
Ajabu ya CCM pamoja na yote hayo mwisho wa mbio huwa wa kwanza!
Povu ruksa!