Uzuri wa Chadema ni wanafiki!

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Leo wanajifanya kumponda sana Magufuli huku wakitambua wazi huko kwa wananchi wa kawaida jina Magufuli ni turufu mno kisiasa.

Sasa basi,ifikapo 2024 kila rangi ya Chadema na watu wake watahamia kumsifia Magufuli kwa kigezo kilekile cha kujishindia kura huku wakimsifu kwa mema yake na watadai wamemsamehe kwa sababu ya makosa ya kibinadamu.

2024 Magufuli kwa chadema ATAKUWA NI SHETANI MWENYE MAZURI YAKE PIA.

Muda utasema.
 
Magufuli hatakiwi na CHADEMA Wala CCM

Magufuli ndio katuletea hili bunge la mchongo ambalo linakula kodi za bure

Tanzania Mungu Bado anatupenda saana
 
Magufuli hatakiwi na CHADEMA Wala CCM

Magufuli ndio katuletea hili bunge la mchongo ambalo linakula kodi za bure

Tanzania Mungu Bado anatupenda saana
Rejea Edward Lowasa.
 
Join The Chain

Heri kuwa mnafiki kuliko muuaji🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Kweli muda utasema Suzy Elias. Hongera kwa kuwakumbusha hapa

Namimi nakazia

Endelea kulala salama Mwamba
 
Yeye alikazania kuwa ameamua kujitoa sadaka Ila sijajua alijisacrifice kivip? Au kwa kututeka wakosoaji wake au kwa kuvuruga uchaguzi ?
 
Yeye alikazania kuwa ameamua kujitoa sadaka Ila sijajua alijisacrifice kivip? Au kwa kututeka wakosoaji wake au kwa kuvuruga uchaguzi ?
Kwa mujibu wa Lema Lowasa alikuwa mwizi,fisadi na muuaji wa maskini wa Tanzania kipindi kile sasa wewe mshika moja endelea kushikilia hilohilo wenziyo ni washika mawili wakiamini moja huponyoka.

Jiongeze!
 
Nijiongeze kuwa Lissu alijishambulia mwenyewe au?
 
Tangu lini ulikuwa na huruma na Mbowe wewe ?
Namfahamu Mzee Mbowe kabla ya wewe na kwetu huja hadi wa leo tunakula naye meza moja huku akitukumbusha namna marehemu mzee wetu alivyo na mchango uliotukuka ndani ya Chadema.

Kwa muktadha huo huenda mimi ni Chadema kuliko wewe,labda.

Karibu kwetu Ibadakuli,Shinyanga mahali ambapo Chairp Mbowe anapafahamu-jiongeze.
 
Ni lini tutamwacha mzee Magufuli RIP badala ya kumuongelea ongelea kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…