Uzuri wa Chadema ni wanafiki!

Uzuri wa Chadema ni wanafiki!

Leo wanajifanya kumponda sana Magufuli huku wakitambua wazi huko kwa wananchi wa kawaida jina Magufuli ni turufu mno kisiasa.

Sasa basi,ifikapo 2024 kila rangi ya Chadema na watu wake watahamia kumsifia Magufuli kwa kigezo kilekile cha kujishindia kura huku wakimsifu kwa mema yake na watadai wamemsamehe kwa sababu ya makosa ya kibinadamu.

2024 Magufuli kwa chadema ATAKUWA NI SHETANI MWENYE MAZURI YAKE PIA.

Muda utasema.

Wewe unaongelea ya 2024 kwa ukakamavu hivi au wewe ni Kerubi?
 
Leo wanajifanya kumponda sana Magufuli huku wakitambua wazi huko kwa wananchi wa kawaida jina Magufuli ni turufu mno kisiasa.

Sasa basi,ifikapo 2024 kila rangi ya Chadema na watu wake watahamia kumsifia Magufuli kwa kigezo kilekile cha kujishindia kura huku wakimsifu kwa mema yake na watadai wamemsamehe kwa sababu ya makosa ya kibinadamu.

2024 Magufuli kwa chadema ATAKUWA NI SHETANI MWENYE MAZURI YAKE PIA.

Muda utasema.

Wanachi gani hao?. Mbona Wanachi waliiunga mkono chadema hata kipindi Magufuli akiwepo madarakani?. Ndio maana akaamua kuiba Kura na uchaguzi mwaka 2020
 
Leo wanajifanya kumponda sana Magufuli huku wakitambua wazi huko kwa wananchi wa kawaida jina Magufuli ni turufu mno kisiasa.

Sasa basi,ifikapo 2024 kila rangi ya Chadema na watu wake watahamia kumsifia Magufuli kwa kigezo kilekile cha kujishindia kura huku wakimsifu kwa mema yake na watadai wamemsamehe kwa sababu ya makosa ya kibinadamu.

2024 Magufuli kwa chadema ATAKUWA NI SHETANI MWENYE MAZURI YAKE PIA.

Muda utasema.

Mbona mama Samia anamponda Sana na kumwita Simba anayengata. Na aliyemtukana Magufuli yani kinana ndio Makamu Mwenyekiti wa chama.
 
Yeye alikazania kuwa ameamua kujitoa sadaka Ila sijajua alijisacrifice kivip? Au kwa kututeka wakosoaji wake au kwa kuvuruga uchaguzi ?

Yani alikuwa amewafanya watanzania misukule. Yani kuona daraja na majengo Ni muhimu kuliko uhai.
 
Kwa mujibu wa Lema Lowasa alikuwa mwizi,fisadi na muuaji wa maskini wa Tanzania kipindi kile sasa wewe mshika moja endelea kushikilia hilohilo wenziyo ni washika mawili wakiamini moja huponyoka.

Jiongeze!

Yule muuajo Nani amuunge mkono. Bora lowassa ilikuwa tuhuma.
 
Namfahamu Mzee Mbowe kabla ya wewe na kwetu huja hadi wa leo tunakula naye meza moja huku akitukumbusha namna marehemu mzee wetu alivyo na mchango uliotukuka ndani ya Chadema.

Kwa muktadha huo huenda mimi ni Chadema kuliko wewe,labda.

Karibu kwetu Ibadakuli,Shinyanga mahali ambapo Chairp Mbowe anapafahamu-jiongeze.

Stori za kutunga
 
Leo wanajifanya kumponda sana Magufuli huku wakitambua wazi huko kwa wananchi wa kawaida jina Magufuli ni turufu mno kisiasa.

Sasa basi,ifikapo 2024 kila rangi ya Chadema na watu wake watahamia kumsifia Magufuli kwa kigezo kilekile cha kujishindia kura huku wakimsifu kwa mema yake na watadai wamemsamehe kwa sababu ya makosa ya kibinadamu.

2024 Magufuli kwa chadema ATAKUWA NI SHETANI MWENYE MAZURI YAKE PIA.

Muda utasema.
Unazungumzia hili genge la mwenyekigoda wa milele

CLJbjIxXAAAHOcG.jpg
 
chadema sio wanafiki tu ni mafirauni wakubwa

Mafirauni Ni wale waliopiga watu Risasi na wengine kuwapoteza kabisa. Halafu mafirauni Ni Yale ambayo pamoja na ugumu wa maisha ya watanzania yameamua kuongeza tozo na kukopa zaidi.
 
Magufuli alikuwa kiongozi mbovu na muovu kweli, na populist

Ila Chadema nao ni malaya wa kisiasa, wanaweza kumtumia kujipatia kira, hili mwenyewe nishalitabiri
 
Namfahamu Mzee Mbowe kabla ya wewe na kwetu huja hadi wa leo tunakula naye meza moja huku akitukumbusha namna marehemu mzee wetu alivyo na mchango uliotukuka ndani ya Chadema.

Kwa muktadha huo huenda mimi ni Chadema kuliko wewe,labda.

Karibu kwetu Ibadakuli,Shinyanga mahali ambapo Chairp Mbowe anapafahamu-jiongeze.
Kwi Kwi Kwi , hata Dr Slaa naye anaongea kama wewe
 
Back
Top Bottom