Uzuri wa kazi ya shift

Uzuri wa kazi ya shift

Anita Kajembe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
215
Reaction score
487
Kazi ya shift inaweza kuwa shift ya asubuhi, mchana au usiku kutokana na ratiba inayowekwa na kiongozi. Ukiwa unafanya kazi ya shift, ni rahisi sana kuwakwepa wanao kudai. Ukipigiwa simu unasema niko kazini hakuna anaejua shift yako ya leo.
 
Kazi za shift noma sana unalala siku nzima ukitoka night shift
 
Kuchapiwa rahisi sana usiku uko shift mwenzako anachakata mchepuko tu
 
Nesi Anita nataka nikupe shift ya night zahanati kwangu apa
 
Vipi wale Tanesco katika hizi generation plants lazima nao wakeshe aseee.... sema overtime nasikia zinahusikaga
 
Back
Top Bottom