Uzuri wa kiatu hiki uko wap?

Uzuri wa kiatu hiki uko wap?

Bhakusyobhile

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
65
Reaction score
198
Mtu unapata wapi ujasiri wa kuvaa haya maviatu?

Yaani unamkuta mtu amevaa halafu yuko comfortable kabisa 😳😳

Screenshot_20240619-224251.png
 
Safi sana haya mavitu, yanapendeza sana kwa vijana, hasa ukute kavaa suruali buga anatokelezea aseee 😆!.

Ni vile ujana una mwisho ningeweza kuvaa ila ndo no more time, wao ni wakati wao wacha wavae wapendese, wakati wetu hayakuwepo haya madude.

Alafu nilidhani ni 8kilo likiwa mguuni, kumbe hata uzito wa 1kilo hayafiki 🙂!.
 
Back
Top Bottom