Uzuri wa kiatu hiki uko wap?

Uzuri wa kiatu hiki uko wap?

Hii ndio picha napata kichwani ya wachangiaji wa hii mada wakikijadili hiko kiatu.

1718997595764.png
 
Mtu unapata wapi ujasiri wa kuvaa haya maviatu?

Yaani unamkuta mtu amevaa halafu yuko comfortable kabisa 😳😳

View attachment 3021017
Kujihangaisha na fasheni za mavazi ni sawa na kutaka kupambana na mafuriko ya Msimbazi kwa viganja vitupu vya mikono yako.

Mtindo kama unaona hauendani na wewe pita hivi.

Zamani tulivaa mitindo ya suruali za pekos na bugha loo, viatu laizon ngazi nne, ushawahi kuviona ama kuvisikia wewe?
 
Back
Top Bottom