Uzuri wa kiatu hiki uko wap?

Safi sana haya mavitu, yanapendeza sana kwa vijana, hasa ukute kavaa suruali buga anatokelezea aseee πŸ˜†!.

Ni vile ujana una mwisho ningeweza kuvaa ila ndo no more time, wao ni wakati wao wacha wavae wapendese, wakati wetu hayakuwepo haya madude.

Alafu nilidhani ni 8kilo likiwa mguuni, kumbe hata uzito wa 1kilo hayafiki πŸ™‚!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…