Uzuri wa kiatu hiki uko wap?

Mtu unapata wapi ujasiri wa kuvaa haya maviatu?

Yaani unamkuta mtu amevaa halafu yuko comfortable kabisa 😳😳

View attachment 3021017
Kujihangaisha na fasheni za mavazi ni sawa na kutaka kupambana na mafuriko ya Msimbazi kwa viganja vitupu vya mikono yako.

Mtindo kama unaona hauendani na wewe pita hivi.

Zamani tulivaa mitindo ya suruali za pekos na bugha loo, viatu laizon ngazi nne, ushawahi kuviona ama kuvisikia wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…