grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,015
- 5,664
Gen z mje mjibu hili swaliMtu unapata wapi ujasiri wa kuvaa haya maviatu?
Yaani unamkuta mtu amevaa halafu yuko comfortable kabisa π³π³
View attachment 3021017
π hatari sanaKobazi limekua na kubalehe
Acha mengine yatupite tuMtu unapata wapi ujasiri wa kuvaa haya maviatu?
Yaani unamkuta mtu amevaa halafu yuko comfortable kabisa π³π³
View attachment 3021017
πππππUmri ukiashaenda kuna mambo unaona ni ujinga.
Ila hata mm huwa nashangaa unavaaje ilo takataka
ππHizi pigo za kina baβmtu nifosie buku hapoβ¦π
πππππ