Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi tayari! [emoji4][emoji4][emoji4]
Kuna wanaosema pombe ya nyumbani hainogi.Hapa siyo duka la vinywaji
Bi nyumban kwa mwanangu mmoja
Mbweni huko mnywaji mwenzetu
Hapo ni mwendo wa kujidunga tu
Bar,pub watu washazisahau
Ova
View attachment 2028481
InanogaKuna wanaosema pombe ya nyumbani hainogi.
Unajuwa wewe😂😂😂Nyumbani kama pametulia mnaanza na bbq baadae mnaweka supu ya utumbo na figo jikoni.
Naungana na ww mkuuInanoga
Nna karibia mwaka ss bar sizijui
Wadau wajanja wengine sahv pombe zao
Nyumbn au kwa mangi
Bar watoto wengi
Ova
Waoow I [emoji3590] this
Sipati stimu nikinywea home [emoji537] asee[emoji848]Kuna wanaosema pombe ya nyumbani hainogi.
Huyu ni mrevi kweri kweri[emoji39]Hapa siyo duka la vinywaji
Bi nyumban kwa mwanangu mmoja
Mbweni huko mnywaji mwenzetu
Hapo ni mwendo wa kujidunga tu
Bar,pub watu washazisahau
Ova
View attachment 2028481
Hapana ni mnywajiHuyu ni mrevi kweri kweri[emoji39]