Tabia njema ndiyo kitu muhimu,mwanamke hatakama angekua na vyote vilivyoorosheshwa hapo,kama hana tabia njema,si chochote.Mfano wanawake wenye umbo zuri halafu wanatabia mbaya,wengi huishia kuwashushia heshima waume zao na mwishowe hata kuwaua moja kwa moja au kupitia mifadhaiko n.k.