Uzuri wa Mwanamke ni upi?

Uzuri wa Mwanamke ni upi?

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Uzuri wa Mwanamke ni....??
a- tabia njema
b-urembo
c-papuchi
d-umbo
e-a na b yote sawa?
Tiririka
 
Ukitaka kuujua uzuri wa mwanamke mwangalie mama mzazi vizuri tena taratiiiiiiiiiiiiiibu , alafu rudia tena kumuangalia then ukisharudia kumwangalia hapo utajua uzuri wa mwanamke ni kitu gani.
 
Hapo ni C mkuu, Papuchi ndo kila kitu..
Demu hata kama akawa mrembo alafu hana Papuchi... hamake sense kabisa
 
Tabia njema ndiyo kitu muhimu,mwanamke hatakama angekua na vyote vilivyoorosheshwa hapo,kama hana tabia njema,si chochote.Mfano wanawake wenye umbo zuri halafu wanatabia mbaya,wengi huishia kuwashushia heshima waume zao na mwishowe hata kuwaua moja kwa moja au kupitia mifadhaiko n.k.
 
Uzuri wa mwanamke Pesa Tu! Mwanamke akiwa hana pesa anakuwa kama ombaomba vile...Ni mizinga kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom