Uzuri wa mwanamke sura na shepu ila mwanaume ni pesa

Uzuri wa mwanamke sura na shepu ila mwanaume ni pesa

Binti tz

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2026
Posts
480
Reaction score
1,038
Ni mwenye shepu nzuri mwenye macho kama unaniita, light skin au mweupe na mwenye makebo makubwa

Kama hauna lolote unajiitaje wife materia?

Furaha ya mwanaume ni kumiliki vitu vya uhakika
 
Uzuri wa mwanamke sura na shepu ila mwanaume ni pesa
 
Ni mwenye shepu nzuri mwenye macho kama unaniita.light skin au mweupe na mwenye makebo makubwa. Kama hauna lolote unajitaje wife material.furaha ya mwanaume nikumiliki vitu vya uhakika.
Mwanamke akiwa na sifa zooote ulizotaja sio wife material.

Kwa sababu hawezi kuoleka akatulia na mwanaume mmoja.
 
Ila kama hauna hela itabidi utembee na pisi mbovu
 
Wanawake wenye makalio makubwa they were meant for humans
 
Wife material kwa upande wangu,ni yule Mwanamke hanaye juwa wajibuwake,kama Mwanamke.
 
Wife material kwa upande wangu,ni yule Mwanamke hanaye juwa wajibuwake,kama Mwanamke.
Endelea kuchukua notice, wife material kwangu mimi ni yule mwenye tabia za kimalayamalaya anaemfanya jamaa awahi kurudi kazini ili awahi kwenda kuichapa
 
Wewe unaona wife wako kumbe wahuni wanaona wife wenu. Nawaonea huruma sana watu wenye wake zao sana sana jijini Dar es salaam
 
Back
Top Bottom