Uzuri wa mwandani wangu unanifanya niishi roho juu

Uzuri wa mwandani wangu unanifanya niishi roho juu

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Mwandani wangu ni wale ambao hawezi pita ukamuangalia mara moja, lazima ugeuke tena. Not only outside, hata kitabia na akili ni exceptional.

Kutoka na hilo amekua akipata usumbufu sana kitu kinachoniweka roho juu, ingawa yeye ananihakikishia kua yuko matured enough and aware.

Natibu vipi hii roho juu?
 
Zab 127:1-2 SUV​

BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi
 
Samaki wa mapambo huwa haliwi!

Umevunja kanuni moja ya muhimu sana na itakugharimu pakubwa!
Screenshot_20230102-231131_Chrome.jpg
 
Insecurities zako unazomuonesha, jiandae kusalitiwa...!
 
Mwandani wangu ni wale ambao hawezi pita ukamuangalia mara moja, lazima ugeuke tena. Not only outside, hata kitabia na akili ni exceptional.

Kutoka na hilo amekua akipata usumbufu sana kitu kinachoniweka roho juu, ingawa yeye ananihakikishia kua yuko matured enough and aware.

Natibu vipi hii roho juu?
Tafuta pesa au wa kulingana na wewe
 
Hongera sana Mkuu!!

Ingependeza zaidi kama ungeambatanisha na picha yake!
 
Back
Top Bottom