fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
You're very unsecured. Sasa kwanini uliamua kumuweka ndani huku ukijua ni mzuri sana? Unamsifia anatabia njema, naye anakuhakikishia kuwa uwe na amani lakini wewe bado umepandisha uzi hapa jukwaani, sasa endelea kumfuatilia na kumuuliza uliza update ugonjwa wa moyo baadae.