Uzuri wa mwandani wangu unanifanya niishi roho juu

You're very unsecured. Sasa kwanini uliamua kumuweka ndani huku ukijua ni mzuri sana? Unamsifia anatabia njema, naye anakuhakikishia kuwa uwe na amani lakini wewe bado umepandisha uzi hapa jukwaani, sasa endelea kumfuatilia na kumuuliza uliza update ugonjwa wa moyo baadae.
 
Kinachokufanya uwe roho juu ni umaskini ulionao, nakukumbusha tu hakuna mwanamke anayekataa kuchepuka akipewa pesa; labda mwanamke huyo awe na pesa za kutosha pia (hiyo ndio salama yako japo ni kwa 80% hizi 20% kuna probability uliyenaye akaliwa tu pia kutokana na sababu ambazo zipo nje ya uwezo wako..) kaa kwa kutulia...
 
Iko siku atajaa tu,narudia iko siku atajaa tu,jiandae kujinyonga.
 
Huna umri mrefu kijana labda uamue kuwa mjinga ukijifanya mjanja kwaheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…