High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Nissan Murano ni gari imetengenezwa kitropic kwa nchi zenye baridi kwa sababu moja.
1.Engine block yake ni ya Aluminium, cylinder head aluminium hii inamaana kwenye snow iwe rahisi kuwaka na kuwa na performance nzuri. Ukiileta huku Africa kwenye tanuri la joto inapata joto sana inachemsha injini haiwezi vumilia ndiyo maana ikifa injini uwezi kuitengeneza unaambiwa kanunue injini mpya kifupi ni kichefuchefu.
Aiseeeee.Nissan Murano ni gari imetengenezwa kitropic kwa nchi zenye baridi kwa sababu moja.
1.Engine block yake ni ya Aluminium, cylinder head aluminium hii inamaana kwenye snow iwe rahisi kuwaka na kuwa na performance nzuri. Ukiileta huku Africa kwenye tanuri la joto inapata joto sana inachemsha injini haiwezi vumilia ndiyo maana ikifa injini uwezi kuitengeneza unaambiwa kanunue injini mpya kifupi ni kichefuchefu.
Mhh huenda yana injini ya 3s,Ila haya Magari yapo mengi na watu wanamiliki bila shida yeyote.
ukiona nissan Murano namba B na C utashangaa jinsi gari zilivyosimama