Uzuri wa Nissan Murano

Uzuri wa Nissan Murano

High Vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,915
Reaction score
2,134
Habari za asubuhi ?

Swali ya yote kampuni ya Nissan ina toleo la gari linaloitwa Nissan Murano likiwa katika mfumo wa suv.

Je yapi ni mazuri ya hii gari na kwa nini mtaani ni gari adimu licha yakuuzwa bei rahisi kabisa tatizo ni nini?

1608873658532.png

Nissan Murano
 
Nissan Murano ni gari imetengenezwa kitropic kwa nchi zenye baridi kwa sababu moja.
1.Engine block yake ni ya Aluminium, cylinder head aluminium hii inamaana kwenye snow iwe rahisi kuwaka na kuwa na performance nzuri. Ukiileta huku Africa kwenye tanuri la joto inapata joto sana inachemsha injini haiwezi vumilia ndiyo maana ikifa injini uwezi kuitengeneza unaambiwa kanunue injini mpya kifupi ni kichefuchefu.
 
Ok asante sana
 
Aiseeeee.

Boeing 747
 
Ila haya Magari yapo mengi na watu wanamiliki bila shida yeyote.
ukiona nissan Murano namba B na C utashangaa jinsi gari zilivyosimama
 
Back
Top Bottom