G7seven
Member
- Mar 25, 2022
- 95
- 251
Hufai kua Simba hufai kuishi mwituni kweny wanyama wakali afu mawindo machache utakufa mapema uyo Demu unayesema mzuri aliumbiwa ww mwanaume asa kama wew ukimogopa nani atamtongozaLIKUD aliwahi kushusha Uzi humu kuhusu hatari ya kumiliki mwanamke pisi Kali.Sio nzuri kuishi na mwanamke mrembo kupitiliza hata Mimi mwenyewe siwezi kbsa.
Aisee hutokaa uache kuwa na insecurities juu yake maana atakuwa anaziteka nyoyo za wanaume wengi na hapo kugongewa Ni dakika sifuri tu.