Uzuri Yanga hakuna changamoto hatujapitia.

Uzuri Yanga hakuna changamoto hatujapitia.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Kuna cheap propaganda zinaendelea kutoka kwa wana Simba ila sio kwa Yanga hii,Yanga hakuna gumu hatulijui hakuna gumu hatujalipitia sijui waje ni mishe gani ndio tuwaelewe.

Nakumbuka kipindi cha Mzee wangu Msolla walikuja na Vicheap propaganda vyao eti Mzee ni Simba na kuanza kusambaza picha zake akiwa na jezi za timu ya Mseto ya Morogoro good enough hilo tulilipita salama na kuwaacha wakiweweseka tu.

Mzee Msolla leo anaondoka klabuni kwa Heshima kubwa ikiwa ni pamoja na kutekeleza asilimia 96.5% ya yale aliyotuahidi achana na kutupa makombe 3.

Baada ya kushindwa na kulegea kwa Msolla naona wamehamia kwa Kijana shupavu ila jitu kubwa Injinia Hersi Said Mr President wa Yanga Kijana mwenye uchungu sana na Yanga akiipenda Yanga kuanzia utoto wake kwa kifupi hakuna kitu Simba mtakisema kuhusu huyu mwamba tuwaelewe hata mkileta picha anakunywa chai na Mrs Ceo itakua ya kwenu tu hiyo.

#Ndio huyo huyo Hersi Said
 
No hurry in Africa...
Kuwa mpole kwanza...Yajayo Yana. .....
 
Back
Top Bottom