Pole pole katelekezwa Airport-Chura na hawara yake wamekimbia nchi
-Maandamano yanaelekea ikulu kumtoa chura
-domo alimficha abdu
- Polepole katobolewa macho na kung'olewa meno
maridhiano yanafanyika jeshi kuchukua nchi
Kiufupi umbea tulipiga na shangwe lilikuwepo la kutosha
Hii kwa kiasi fulani walifanya pale mwanzoni, vijana wengi wa boda pale Kinyerezi wanasimulia jinsi wenzao walivyoshushwa kutoka kwa gari ya polisi na wanajeshi, wakawaambia waende zao, nadhani hapa ndio Mkunda akaambiwa akome polisi wafanye yao.Uzushi mwingine ni jeshi la wananchi linalinda raia
Lazima tuanze upya.Hii kwa kiasi fulani walifanya pale mwanzoni, vijana wengi wa boda pale Kinyerezi wanasimulia jinsi wenzao walivyoshushwa kutoka kwa gari ya polisi na wanajeshi, wakawaambia waende zao, nadhani hapa ndio Mkunda akaambiwa akome polisi wafanye yao.