Uzushi uliozushwa katikati ya kilele cha maandamano

Uzushi uliozushwa katikati ya kilele cha maandamano

Hahaha kuna ndege moja ilipita mwanza tukaambiwa ni ya Uganda ilikua inaenda Arusha, Jwtz wameiambia itue mwanza lasivyo wanaitungua 🤣🤣🙌 daah
 
Hapa ndo tulipigwa mpk 97%
 

Attachments

  • Switch ya Fundi Mwambe.mp4
    13.1 MB
Eti yule MUUWAJI POLISI NAMBARI WANI KACHOMEWA NYUMBA YAKE KWA MADIBA!
 
Sure ,swala la maji watu waliogopa kuyatumia kabisa.
Lakini kwa watambuzi ilikuwa ngumu kuamini kwasababu chanzo hicho cha maji kinalindwa na combine 10 za jeshi

Kwahiyo ni suala ambalo vigumu kufanyika maana hayo maji ndiyo yanayoenda jeshini na uraiani
 
Lakini kwa watambuzi ilikuwa ngumu kuamini kwasababu chanzo hicho cha maji kinalindwa na combine 10 za jeshi

Kwahiyo ni suala ambalo vigumu kufanyika maana hayo maji ndiyo yanayoenda jeshini na uraiani
Kisima cha chuo kikuu ndio kililindwa zaidi kwakuwa maji yakr sio tembezi na yanatumiwa na kaliba moja ya watu
 
Snow Crest Hotel mali ya Babu Mzanzibari yachomwa moto na waandamanaji wakapora kila kinachobebeka, wakang'oa hadi milango na kutokomea nayo
 
Imebidi tu nicheke.. Kama sio hii video ningesema ni AI au ni uzushi mwingineView attachment 3499252
Haa 🤔 haa🤔

Huyu jamaa na wenzake kina Ole Lengai Sabaya, Jerry Muro, Paul Makonda, Alexander Mnyeti, Ally Hapo na wengine wakati wa Magufuli walikuwa untouchable na wenye shobo na shombo inayotoa harufu mbaya

Walijioana wamefika na wanaishi dunia yao ya kipeke kwa kuwa walipumbazwa na vijipesa haramu vya damu walivyokuwa wanavipata wakati ule kupitia utawala wa chuma wa Pombe Magufuli.

Hawakuwa na macho ya kuona ubaya waliokuwa wanautenda. Hawakujua kuwa maisha hubadilika kulingana na nyakati. Leo uko hivi, kesho unaweza kuwa mwingine kabisa..

Hawakuwahi kuielewa mithali hii 👉 There's no situation which is permanent!. Kila hali huja na kupita na kuja kitu kingine tena

No one thought kuwa Magufuli angekufa na kutoweka kwa haraka vile!

Leo Musiba anajuta na kuuona ukweli halisi akiwa hana heshima na trust tena ktk jamii. Watazame na tuwaangalie kina Ole Lengai Sabaya, Jerry Muro, Alexander Mnyeti na wenzao. Hakuna kitu, choka mbaya na hawana heshima ktk jamii kwa sbb ya ujinga wao

Amebaki mmoja, Bashite a.k.a Paul Makonda. Huyu ana anguko lake maalumu la kummaliza na kumwondolea hadhi na heshima yake yote. Aibu na fedheha Iko mbele yake unless apatane na Mungu wake though matokeo ya matendo yake hayawezi kuachana naye..

Kama Musiba ana - acknowledge hoja za CHADEMA na Tundu Lissu leo, basi nani anaweza kushangaa kuja kuona siku Moja huko mbele Iddi Amini Dada a.k.a Bi Kizimkazi a.k.a Bi Samia Suluhu Hassan akijiunga ACT Wazalendo???
 
Back
Top Bottom