Uzushi uliozushwa katikati ya kilele cha maandamano

Kama Musiba ana - acknowledge hoja za CHADEMA na Tundu Lissu leo, basi nani anaweza kushangaa kuja kuona siku Moja huko mbele Iddi Amini Dada a.k.a Bi Kizimkazi a.k.a Bi Samia Suluhu Hassan akijiunga ACT Wazalendo???😂😂😂
 
Kisima cha chuo kikuu ndio kililindwa zaidi kwakuwa maji yakr sio tembezi na yanatumiwa na kaliba moja ya watu
Mwaka 1998 kuna mtu aliwahi kuweka sumu kwenye tank la shule ya sekondari Magamba Lushoto. Nilikumbuka hilo tukio baada ya huo uzushi wa Kibaha. Kwa ujazo wa maji yaliyopo akili ilikataa kukubali huo uzushi kabisa.
 
Hii kwa kiasi fulani walifanya pale mwanzoni, vijana wengi wa boda pale Kinyerezi wanasimulia jinsi wenzao walivyoshushwa kutoka kwa gari ya polisi na wanajeshi, wakawaambia waende zao, nadhani hapa ndio Mkunda akaambiwa akome polisi wafanye yao.
Jeshi lilikuwa upande wa raia ila mkuu wa majeshi alikua upande wa mgombea sa ilipo gundulika hivo mkuu wa majeshi alitoa amri moja"kila mwanajeshi aende kambini kwake"wanajeshi wakaondoka mtaani wakabaki waganda,wasouthafrika na wakenya hawa kauli ilikuwa moja tu;watanzania mko milioni 70 wakifa laki 5 hawa wakuzaliwa ndani ya mwezi mmoja tu!
 
Ukisikia wanachoongea watawala na polisisiemu kuhusu huo uharibifu na ukienda maeneo husika naukitazama idadi ya vifo they speak nonesnse kabisa qmmk
 
Chadema lazima mjibu makosa yenu,mmeumiza watz na kusababisha vifo kwa vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…