wewe ni mmoja kati ya watu wenye nidhamu ya uoga utaendelea kutumikishwa mpaka uzeeni mwako mi nilifikiri labda ulishawahi jaribu ukashindwa. Walio fanikiwa ktk ujasiriamali ni wengi tu
Economy hii thread iko kwenye forum ya biashara, maana ake sio siasa au udaku ya maneno kumi kwmb 'fulani kafumaniwa gesti'
Point, huyu anataka watu wabaki kuwa watumwa, success is about being what you want to be and not the vice versa. ndo maana unakuta mzee kijijini anafuga mbuzi 30 anafuraha kuzidi wewe mwenye apartment masaki because he is his self and you are not.Hata kama kuna ukweli kiasi lakini kufeli ktk ujasiliamali ni sawa na huko kuajiliwa then ukafukuzwa kazi au mkataba wa ajira ukaisha,zote hizo ni moja ya kitu tunaita MAISHA,so kusema ujasiliamali ni uzushi si kweli,kuna wajasiliamali pia wanaosema kuajiliwa ni kushikiwa akili na kupoteza muda wa kupata zaidi,na ndivyo ilivyo.we ungesema kua kuajiliwa na ujasiliamali vyote vina changamoto zake maana ni utafutaji uleule..ila yote kwa yote hata mimi hapa hunirudishi tena kwenye kuajiliwa.
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
True mkuu, wengi hupotoshwa na nadharia za semina au hadithi au kuona mtu katoboa basi nae anafuata, bila kutizama mtu uyo katoka wapiLazima uwe na passion ili ufanikiwe,watu wengi wanafanya kwa mkumbo ni wachache wanaofanya kwa maridhio ya nafsi zao.
Mimi nimeshaanzisha biashara 10,nane zimekufa,mbili ziko hai..na bado naendelea kufungua nyingine.kumbuka nimeajiri watu kadhaa kwahiyo naisaidia jamii yangu.
Ila kuajiliwa nahisi inabidi uwe na roho ngumu zaidi
Kweli kabisa,yaani mtu anataka afungue biashara leo halafu kesho aanze kupata faida ya kutosha,siyo rahisi hivo.biashara unaweza ifungua ikakaa hata miaka miwili hujapata faida yoyote ya kifedha ila inakupa faida ya uzoefu na maarifa zaidi.True mkuu, wengi hupotoshwa na nadharia za semina au hadithi au kuona mtu katoboa basi nae anafuata, bila kutizama mtu uyo katoka wapi
huu ni mfano tu apa;
View attachment 548383
Umefafanua vizuri sana,thank you.UJASIRIMALI
Kwanza tutambue kwamba Ujasiriamali upo wa aina mbili ambao ni
- Born
- Made
Born ni wale walio zaliwa na talents na inaaminika kwamba wavunbuzi wengi wa enzi hizo walikuwa Born ukiachukua watu kama Honda na wakina Michael Dell na wakina Henery Ford.
Made
Hawa ni wale wanao tengenezwa na Mazingira kwamba wana jifunza kutoka kwa wanoa waona Chukulia kama Wahindi au hata Wachina au hata Wabongo.
UJASIRIAMALI
Kwanza tuelewe kwamba Ujasiriamali haufundishwi hakuna chuo Duniani cha kufundisha Ujasiriamali kinacho onekana ni njia za kupiga pesa.
KWA NINI UJASIRIAMALI HAUFUNDISHWI?
Kwa sababu ujasiriamali ni Spirt kuna Spirt ambayo humuongoza mtu na pia hata kuna Hormon fulan sitazungumxia hizo Hormon my be next time.
Ujasiriamali ni Passion- Passion haifundishwi
Ujasiriamali ni Commitment- Hakuba mpaka sasa chuo cha kufundisha commitment.
Ujasiriamali ni Confidence- Hakuna chuo cha kufundisha.
Ujasirimali ni Risk- unahitaji kutake risk kitu kisicho fundishwa.
UJASIRIAMALI=MAPENZI
Hakuna chuo cha kufundisha mapenzi, hakuna chuo cha kufundisha jinsi ya kupenda mtu.
Kuna chuo cha kufundisha jinsi ya kudumisha mapenzi.
kufall in love huwa ni mtu kuwa ni spirt ya kumpenda mtu na ndo pale ambapo huwa kuna watu kujiua au unakataliwa una try hata mara 1000.
Sasa basi zile try za kufall in love ndo zile tray za mjasiriamali kujaribu na kuto kata tamaa kamwe.
Ndo walikuwa nazo wakina Thomas Edson.
Unahitaji kuwa na passion kubwa sana kuweza kuwa mjasiriamali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] "thread zake" hahahaJibu lako hili limenifanya niwe na shauku kufahamu aina ya mtu mwenye ufahamu wa makalio kama huu
Na baada ya kuangalia thread na posti zako za nyuma za kina wema,aunt ezekiel sijui mitongozo au kuomba ushauri kuhusu namna kupata demu
Hakika it will be an insult to my level of knowledge kukujibu mtu kama ww.
Tuko ktk horizon tofauti kabisa, tafuta watu wa aina ako.
hongera kwa kuajiri vijana, nina biashara yangu yenye kipato kizuri tu, ila huwa naanza ujasiriamali mdogo mdogo wa kutengeneza kwa mikono msimu ukiwa mgumu naacha sasa nataka kuanza tena, tatizo lipo kwenye kuajiri vijana wa kunifanyia hizo kazi nawapata wapi?Lazima uwe na passion ili ufanikiwe,watu wengi wanafanya kwa mkumbo ni wachache wanaofanya kwa maridhio ya nafsi zao.
Mimi nimeshaanzisha biashara 10,nane zimekufa,mbili ziko hai..na bado naendelea kufungua nyingine.kumbuka nimeajiri watu kadhaa kwahiyo naisaidia jamii yangu.
Ila kuajiliwa nahisi inabidi uwe na roho ngumu zaidi
Hahahaa mkuu tatizo sio kwamba wabongo hatuelewi, nafikiri ishu ipo kwenye ufuatiaji sababu ziko kampuni nyingi tu za kibongo zilizoanza from 'scratch'Sasa ukiwaambia Wabongo kwamba kampuni tunazo ziona zilianzia mbali mno hakuna anaye kuelewa.
Kwa kifupi sisi bad mnona sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Darubini hujanielewa and the fact kwamba hujanielewa ni kuwa mchangiaji uliye mqoute hakunielewa pia ndio sababu kuna sehemu nimemkosea.Point, huyu anataka watu wabaki kuwa watumwa, success is about being what you want to be and not the vice versa. ndo maana unakuta mzee kijijini anafuga mbuzi 30 anafuraha kuzidi wewe mwenye apartment masaki because he is his self and you are not.
Uko wapi, na unataka vijana wangapi,jinsia gani,na unakadiria kuwalipa shilingi ngapi,kwa siku, wiki,kwa mwezi au kwa msimu?hongera kwa kuajiri vijana, nina biashara yangu yenye kipato kizuri tu, ila huwa naanza ujasiriamali mdogo mdogo wa kutengeneza kwa mikono msimu ukiwa mgumu naacha sasa nataka kuanza tena, tatizo lipo kwenye kuajiri vijana wa kunifanyia hizo kazi nawapata wapi?
TAECO congarats Chief,Ni kweli mkuu kampuni yangu ya TAECO huu ni mwaka wa 5 unaelekea na nusu sijaingiza faida ya kifedha bali natengeneza network ambayo slowly imeelekea kujaa so I believe kabla ya 2020 itakua masikioni mwenu wote...
Tembelea www.facebook.com/TAECO2012, www.twitter.com/TAECOLTD, www.taecoltd.webs.com
Maisha huanza taratibu huku ukipanda
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ya pa kulala ndo changamoto kwangu, kula haina shida nikipata wawili wakuanzia haina shidaUko wapi, na unataka vijana wangapi,jinsia gani,na unakadiria kuwalipa shilingi ngapi,kwa siku, wiki,kwa mwezi au kwa msimu?
Na una sehemu ya kuwalaza,na chakula utawapa au watajitegemea?