Uzushi/upotoshaji kuhusu ujasiriamali

Uzushi/upotoshaji kuhusu ujasiriamali

wewe ni mmoja kati ya watu wenye nidhamu ya uoga utaendelea kutumikishwa mpaka uzeeni mwako mi nilifikiri labda ulishawahi jaribu ukashindwa. Walio fanikiwa ktk ujasiriamali ni wengi tu

Jibu lako hili limenifanya niwe na shauku kufahamu aina ya mtu mwenye ufahamu wa makalio kama huu

Na baada ya kuangalia thread na posti zako za nyuma za kina wema,aunt ezekiel sijui mitongozo au kuomba ushauri kuhusu namna kupata demu

Hakika it will be an insult to my level of knowledge kukujibu mtu kama ww.

Tuko ktk horizon tofauti kabisa, tafuta watu wa aina ako.
 
Jifunze kufupisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Economy hii thread iko kwenye forum ya biashara, maana ake sio siasa au udaku ya maneno kumi kwmb 'fulani kafumaniwa gesti'

Infact kwa mjasiriamali anaejitambua maneno ayo ni machache sana sababu entrepreneurs unaowajua wote ww wanasoma vitabu zaidi ya 50 kila mwaka.

Sasa ukiniambia nifupishe nakuwa sikuelewi mkuu coz nashindwa kuelewa utasomaje The EastArican, The Guardian zenye kurasa zaid ya 20.
Jifunze kufupisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama kuna ukweli kiasi lakini kufeli ktk ujasiliamali ni sawa na huko kuajiliwa then ukafukuzwa kazi au mkataba wa ajira ukaisha,zote hizo ni moja ya kitu tunaita MAISHA,so kusema ujasiliamali ni uzushi si kweli,kuna wajasiliamali pia wanaosema kuajiliwa ni kushikiwa akili na kupoteza muda wa kupata zaidi,na ndivyo ilivyo.we ungesema kua kuajiliwa na ujasiliamali vyote vina changamoto zake maana ni utafutaji uleule..ila yote kwa yote hata mimi hapa hunirudishi tena kwenye kuajiliwa.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Point, huyu anataka watu wabaki kuwa watumwa, success is about being what you want to be and not the vice versa. ndo maana unakuta mzee kijijini anafuga mbuzi 30 anafuraha kuzidi wewe mwenye apartment masaki because he is his self and you are not.
 
Lazima uwe na passion ili ufanikiwe,watu wengi wanafanya kwa mkumbo ni wachache wanaofanya kwa maridhio ya nafsi zao.

Mimi nimeshaanzisha biashara 10,nane zimekufa,mbili ziko hai..na bado naendelea kufungua nyingine.kumbuka nimeajiri watu kadhaa kwahiyo naisaidia jamii yangu.

Ila kuajiliwa nahisi inabidi uwe na roho ngumu zaidi
True mkuu, wengi hupotoshwa na nadharia za semina au hadithi au kuona mtu katoboa basi nae anafuata, bila kutizama mtu uyo katoka wapi

huu ni mfano tu apa;

1500780469092.png
 
True mkuu, wengi hupotoshwa na nadharia za semina au hadithi au kuona mtu katoboa basi nae anafuata, bila kutizama mtu uyo katoka wapi

huu ni mfano tu apa;

View attachment 548383
Kweli kabisa,yaani mtu anataka afungue biashara leo halafu kesho aanze kupata faida ya kutosha,siyo rahisi hivo.biashara unaweza ifungua ikakaa hata miaka miwili hujapata faida yoyote ya kifedha ila inakupa faida ya uzoefu na maarifa zaidi.
 
UJASIRIMALI

Kwanza tutambue kwamba Ujasiriamali upo wa aina mbili ambao ni
- Born
- Made

Born ni wale walio zaliwa na talents na inaaminika kwamba wavunbuzi wengi wa enzi hizo walikuwa Born ukiachukua watu kama Honda na wakina Michael Dell na wakina Henery Ford.

Made
Hawa ni wale wanao tengenezwa na Mazingira kwamba wana jifunza kutoka kwa wanoa waona Chukulia kama Wahindi au hata Wachina au hata Wabongo.

UJASIRIAMALI
Kwanza tuelewe kwamba Ujasiriamali haufundishwi hakuna chuo Duniani cha kufundisha Ujasiriamali kinacho onekana ni njia za kupiga pesa.

KWA NINI UJASIRIAMALI HAUFUNDISHWI?

Kwa sababu ujasiriamali ni Spirt kuna Spirt ambayo humuongoza mtu na pia hata kuna Hormon fulan sitazungumxia hizo Hormon my be next time.

Ujasiriamali ni Passion- Passion haifundishwi

Ujasiriamali ni Commitment- Hakuba mpaka sasa chuo cha kufundisha commitment.

Ujasiriamali ni Confidence- Hakuna chuo cha kufundisha.

Ujasirimali ni Risk- unahitaji kutake risk kitu kisicho fundishwa.

UJASIRIAMALI=MAPENZI

Hakuna chuo cha kufundisha mapenzi, hakuna chuo cha kufundisha jinsi ya kupenda mtu.

Kuna chuo cha kufundisha jinsi ya kudumisha mapenzi.

kufall in love huwa ni mtu kuwa ni spirt ya kumpenda mtu na ndo pale ambapo huwa kuna watu kujiua au unakataliwa una try hata mara 1000.

Sasa basi zile try za kufall in love ndo zile tray za mjasiriamali kujaribu na kuto kata tamaa kamwe.

Ndo walikuwa nazo wakina Thomas Edson.

Unahitaji kuwa na passion kubwa sana kuweza kuwa mjasiriamali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umefafanua vizuri sana,thank you.
 
Jibu lako hili limenifanya niwe na shauku kufahamu aina ya mtu mwenye ufahamu wa makalio kama huu

Na baada ya kuangalia thread na posti zako za nyuma za kina wema,aunt ezekiel sijui mitongozo au kuomba ushauri kuhusu namna kupata demu

Hakika it will be an insult to my level of knowledge kukujibu mtu kama ww.

Tuko ktk horizon tofauti kabisa, tafuta watu wa aina ako.
Hahahahaa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] "thread zake" hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima uwe na passion ili ufanikiwe,watu wengi wanafanya kwa mkumbo ni wachache wanaofanya kwa maridhio ya nafsi zao.

Mimi nimeshaanzisha biashara 10,nane zimekufa,mbili ziko hai..na bado naendelea kufungua nyingine.kumbuka nimeajiri watu kadhaa kwahiyo naisaidia jamii yangu.

Ila kuajiliwa nahisi inabidi uwe na roho ngumu zaidi
hongera kwa kuajiri vijana, nina biashara yangu yenye kipato kizuri tu, ila huwa naanza ujasiriamali mdogo mdogo wa kutengeneza kwa mikono msimu ukiwa mgumu naacha sasa nataka kuanza tena, tatizo lipo kwenye kuajiri vijana wa kunifanyia hizo kazi nawapata wapi?
 
Sasa ukiwaambia Wabongo kwamba kampuni tunazo ziona zilianzia mbali mno hakuna anaye kuelewa.

Kwa kifupi sisi bad mno
a52c621087ebb63ac854a14ebd9bbdae.jpg
na sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa mkuu tatizo sio kwamba wabongo hatuelewi, nafikiri ishu ipo kwenye ufuatiaji sababu ziko kampuni nyingi tu za kibongo zilizoanza from 'scratch'

Na wapo credible entrepreneurs waliothubutu ata kuandika vitabu vya historia zao Mfano C.E.O wa Global Publishers Erick Shigongo( Nilikotoka)

Nafikiri ishu ni ufuatiliaji na pia kibongo bongo tuna tatizo la documentary, actualy ni fursa kwa watu kama unaweza kutengeneza let say t.v channel au kuandika kitabu cha historia za watu waliotusua, ni biashara nzuri Napoleon Hill umaarufu wake ni kwamb aliweza kudocoment maisha ya watu kama Thomas Edison na wengine wengi.

Mfano mwingine kampuni Kama Clouds Media Group ilianza kwenye chumba kimoja kwa wale wasifahamu.
 
Point, huyu anataka watu wabaki kuwa watumwa, success is about being what you want to be and not the vice versa. ndo maana unakuta mzee kijijini anafuga mbuzi 30 anafuraha kuzidi wewe mwenye apartment masaki because he is his self and you are not.
Mkuu Darubini hujanielewa and the fact kwamba hujanielewa ni kuwa mchangiaji uliye mqoute hakunielewa pia ndio sababu kuna sehemu nimemkosea.

To make it clear sisemi ujasiriamali ni uzushi bali nasema kuhusu uzushi/upotoshwaji unaohusishwa na dhana ya ujasiriamali

To make it more understanding, jambo linaweza likawa sio la kizushi lakini likaonekana ni la kizushi kutokana na vitu vya kipotoshaji vinavyozushwa, na kma vitu hivi vikihubiriwa sana hujenga ukweli kuhusu uzushi huo, na hivyo kuondoa uhalisia wake na kubaki uzushi mtupu.
 
hongera kwa kuajiri vijana, nina biashara yangu yenye kipato kizuri tu, ila huwa naanza ujasiriamali mdogo mdogo wa kutengeneza kwa mikono msimu ukiwa mgumu naacha sasa nataka kuanza tena, tatizo lipo kwenye kuajiri vijana wa kunifanyia hizo kazi nawapata wapi?
Uko wapi, na unataka vijana wangapi,jinsia gani,na unakadiria kuwalipa shilingi ngapi,kwa siku, wiki,kwa mwezi au kwa msimu?

Na una sehemu ya kuwalaza,na chakula utawapa au watajitegemea?
 
Ni kweli mkuu kampuni yangu ya TAECO huu ni mwaka wa 5 unaelekea na nusu sijaingiza faida ya kifedha bali natengeneza network ambayo slowly imeelekea kujaa so I believe kabla ya 2020 itakua masikioni mwenu wote...
Tembelea www.facebook.com/TAECO2012, www.twitter.com/TAECOLTD, www.taecoltd.webs.com
Maisha huanza taratibu huku ukipanda

Sent using Jamii Forums mobile app
TAECO congarats Chief,

I took time off kuona unachofanya, ts amaizing!! Nikuambie tu kitu UMESHAPENYA ASEE

Kuna kitu Mentor wng hupenda kusema kama ukiweza ku transform idea into reality hata kama isipoweza kuingiza pesa basi kwa mjasiriamali ni ushindi

Tafsir ya msemo huu ni kwamba jiulize watu wangapi miaka nenda rudi kila siku wao ni idea tu ukiuliza umefikia wapi, jibu ni bado!!

'Everybody preaches ideas what an entrepreneur does is transform the idea into reality and preach opportunity'

You are on the right truck, wala usiwe na pupa keep doing wat yo doing, cha msingi unachotakiwa kufanya ni kufanya biashara yako i 'survive', absorb more network as you can and eventually money will follow you

Soma sana vitabu hasa vinavyohusu masuala ya uwezeshaji, soma vitabu vya online marketing and building networks, i tell u tatoboa tu

Ulichonacho ambacho ni siraha nayoiona kwako ni uvumilivu na subiri, yo men patiance is power.

Nimekupa mifano ya Facebook iliyokaa miaka 7 bila faida, soma historia ya Henry Ford, Marc Cuban, Disney land, THE LIST is long

Nonetheless, nimekupa mfano wa Kampuni ya Amazon, watu wasichojua pamoja na umaarufu wa kampuni hii Jeff Bezos ameweza kupata hela ya kucover running cost tu kwa miaka yote iyo.

Hongera sana mkuu.
 
Uko wapi, na unataka vijana wangapi,jinsia gani,na unakadiria kuwalipa shilingi ngapi,kwa siku, wiki,kwa mwezi au kwa msimu?

Na una sehemu ya kuwalaza,na chakula utawapa au watajitegemea?
hiyo ya pa kulala ndo changamoto kwangu, kula haina shida nikipata wawili wakuanzia haina shida
 
Back
Top Bottom