Kama ni kweli kiki sijui hawa watu wanatakiwa wakamatwe na kushtakiwa kwa kupotosha na sio sababu huyu msanii mtu yoyote anyezulia mtu kifo ashikwe. Kawaida msiba wowote ni wana family ndio wakutangaza sio mtu baki.
[emoji16][emoji16][emoji16]hata mimi nilitaka kuuliza huyu ni mejah wa nchi gani ananyoa hivoNi meja wa jeshi la nchi gani...??
Mkuu.....
Kwahiyo huyo kijana aliye vaa jeans iliyo chanika ndio meja..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi kuna watu wawili wamepost asubuhi wamshaniumiza roho na tangazo lao la msiba hewa.Na watanzania tunavyopenda kupost rip
[emoji16][emoji16][emoji16]hata mimi nilitaka kuuliza huyu ni mejah wa nchi gani ananyoa hivo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] akili zako zinakutosha mwenyeweNi meja wa jeshi la nchi gani...??
Mkuu.....
Kwahiyo huyo kijana aliye vaa jeans iliyo chanika ndio meja..!!
Sent using Jamii Forums mobile app