Pisi kali
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,234
- 2,535
Meneja wake athibitisha kwamba yu hai hajafa na anaendelea vizuri
Ila wamefanya kik ya kijinga sana Mungu hadhihakiwi jamani
Wametembelea kik ya REMA[emoji57]
Huyo gmaker na meja mwenyewe inabidi watuombe msamaha
Mama na mchumba wake inadaiwa walikua wanazimia zimia according to his father (wa meja) kik zingine hazifai
View attachment 1344924
Aliyetoa habari ya uzushi ni meneja wake, gmaker[emoji1426] Watu wakaanza kuirepost kua amefariki
Meja kunta ni MZIMA (tuliolia hadi kamasi sijui watatuambia nini☹️☹️