Uzushi wa wa Tunisia kuhusu Samatta

Uzushi wa wa Tunisia kuhusu Samatta

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Hakyamungu huyu samatta ndiye wa kumuombea watanzania sio wale waliopiga push up kwenye kampeni baadaye wanakuja kulialia eti tuwaombee nyumba zimepigwa x
embu angalia uongo wa Club african ya TUNISIA wanasema Samatta yuko kule anamalizana nao kuhusu kuhamia huko...kha na ni habari ya jana
mbwana_samatta.jpg

In search of a striker, Club Africain Tunis strongly interested in Mbwana Samatta. According Shems FM, the Tanzanian striker is currently in Tunisia to discuss with the CA. The Tanzanian Mazembe striker disembark to negotiate a possible transfer to the club Bab Jadid. The player is free from any commitment after the end of his contract with TP Mazembe. Mbwana Samatta was voted best African player playing on the continent by the African Football Confederation.
source:Mbwana Samatta : Le Tanzanien proche du Club Africain - Africa Top Sports
 
Labda kama walimaanisha ulimwengu,ulimwengu kapata offer toka Tunisia lakini hajaamua
 
Back
Top Bottom