V Money afanya interview akiwa high,asema Jux alikuwa kisela

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Jamani leo nimeingia you tube na kucheki interview ya vanessa mdee ktk channel ya dizzim online, ameongea vitu vingi na haswa nadhani ni kwasababu aliingia amelewa yani yupo high ila sijajua ni ulevi gani alitumia.
Ametbibitisha truck ya kisela ni real story na jux ndo muhusika mkubwa
Kwamba alikuwa anamchukulia poa, mezeji hajibu, akipigiwa simu anajibu mikato mikato. Jamani mtu akiwa high anaongea ukweli wote

 
Move on kipenzi mapenzi si kitanzi

IRON LADY!!!!
 
Kitu gani kinakufanya umwone kalewa? Mbn akili nzima kabsa hiyo?
Yaani leo ndio amininasilimia kubwa ya Watanzania uwezo mdogo wa kufikiri na uwezobmkubwa wa kuzusha!
Nimei check hiyo interview mwanzo mwisho sijaona sehemu inayoashiria kama bint is high on something !tena amejivu kifasaha na ameeleza katika uwezo mkuu wa kiakili hakuna mashauzi na ujinga ujinga kama wadada wasanii wengine.
Vanesa yuko vizuri kiakili na personality yake pia huyo mleta uzi hajui anachokisema na nashukuru kaweka clip ya kumuumbua yeye mwenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…