V Money afanya interview akiwa high,asema Jux alikuwa kisela

V Money afanya interview akiwa high,asema Jux alikuwa kisela

Jamani kwa wale wenzangu wanaotumia ulevi wowote mtaona wazi vanessa yupi high. Sio kwamba nimesema amelewa ndii, u must b clever to notice
Pua yake ina shida? Kama ana mafua. Kila mara mkono kwenye pua. Si dalili nzuri hii (labda awe na mafua kweli). Otherwise Makonda anaweza akawa sahihi juu ya huyu binti.
 
Jux level zake watoto wazuri wazuri kama Jack Clif sio huyu Andunje anaelazimisha uzuri kwa mawigi makubwa kama kinyago

Ila Jack mi mwenyewe nampenda swaga zake tena kipindi kile kabla ya insta mtoto alikuwa anatupia pamba hatariii, yaani nikiangalia wimbo wa kimugunya sijiu wa Linex machozi yananitoka .

Ka vanessa nikazuri ila ufupi tu, yaani Mungu angempa urefu wa jini kabula uwiiii angekuwa bomba sana,mdogo wake ni mzuri na umbo zuri pia
 
Back
Top Bottom