V Money afanya interview akiwa high,asema Jux alikuwa kisela

Hiyo kulewa sijainotice bado imeanzia dakika ya ngapi?
 
Jux kashazoea mapenzi ya Tandale, muda wote kufuatiliana.
Demu anazisaka pesa kwa spidi ya light, akikutana na wakubwa huko mbele kumegwa kisela kawaida sana.

Huwez niaminisha eti Mr. P hajabandua huyu manzi
 
Mawazo yako fyatu tu Mkuu. sio kila akili ya mwanaume iko kingono ngono kama yako. Wengine kazi kwanza mapenzi ng'ambo ntayarudia nikiyakumbuka
 
Mawazo yako fyatu tu Mkuu. sio kila akili ya mwanaume iko kingono ngono kama yako. Wengine kazi kwanza mapenzi ng'ambo ntayarudia nikiyakumbuka
ww huwez niambia mnarekod mpk usiku, mnaenda club, anakusindikiza hotelin afu akuache hvhv
 
Always in alcohol their is a truth, alcohol never lie
 
Atakula wangapi Mkuu? Watu maarufu kama hao wanakutana na wanawake wengi kuliko. Au kama ndo ivyo V angeanza kuliwa na producer wake aje Peter, apite promoter, bado madancer nao wangejishindia
Ana angalia na level za kumlaa
 
Jamani kwa wale wenzangu wanaotumia ulevi wowote mtaona wazi vanessa yupi high. Sio kwamba nimesema amelewa ndii, u must b clever to notice
 
sasa haka kabinti kweli du acha tu watu wapambane na upepo unaweza jipata umekavunja bed ati....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…