V Money afanya interview akiwa high,asema Jux alikuwa kisela

unanikatisha tamaa,mwenzio kile ni kitumbua cha ndoto yangu
Nenda kajitose hivo hivo.
Mbona sisi na visima vyetu tumejikubali na tunawapanga wanaume vilevile!!
Bwawa kitu gani bhana....jitose
 
Jamani kwa wale wenzangu wanaotumia ulevi wowote mtaona wazi vanessa yupi high. Sio kwamba nimesema amelewa ndii, u must b clever to notice
Pua yake ina shida? Kama ana mafua. Kila mara mkono kwenye pua. Si dalili nzuri hii (labda awe na mafua kweli). Otherwise Makonda anaweza akawa sahihi juu ya huyu binti.
 
V ndio alikuwa anajishusha kuwa na JUx. V yupo levels za juu mno.
Amna kitu pale...Brother man kama Jux inabidi awe na demu mkali yule mjivika mawigi kama Kinyago cha maonyesho
 
Jux level zake watoto wazuri wazuri kama Jack Clif sio huyu Andunje anaelazimisha uzuri kwa mawigi makubwa kama kinyago

Ila Jack mi mwenyewe nampenda swaga zake tena kipindi kile kabla ya insta mtoto alikuwa anatupia pamba hatariii, yaani nikiangalia wimbo wa kimugunya sijiu wa Linex machozi yananitoka .

Ka vanessa nikazuri ila ufupi tu, yaani Mungu angempa urefu wa jini kabula uwiiii angekuwa bomba sana,mdogo wake ni mzuri na umbo zuri pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…