V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)


1.walipoanza ku question hii hypothesis walikuwa wananyimwa hata air time kwenye vituo vya TV na Radio kuzungumza...

Kwa kweli inauma sana,unajua watu hawafuatilii mambo haya.Mimi ambaye nimefuatilia inaniuma sana kuona hayo maneno uliyoandika,yaani picha ya Peter Duesberg inanijia ninaposoma haya maneno.Peter Duesberg amezuiwa kwenye conferences nyingi sana zinazohusu mambo haya,hata kule SA nyakati za mwisho wa utawala wa Thabo Mbeki Peter Duesberg alikuwa anaoneka kabisa USONI MWAKE kwamba hana amani na mwenye masikitiko makubwa,unaweza kutokwa na machozi kama ungemwona uso wake ulivyoonesha ishara ya kukosa amani.Kama kweli watu ni wafuatiliaji wa mambo haya wangeshagundua kitu tayari,lakini watu wengi hawako hivyo.Hata kwenye mijadala ya kwenye TV Peter alikuwa anakatwa katwa,hii inauma sana lakini watu bado hawajiulizi.

2.kama tunataka kutatua tatizo why tunaogopa mawazo mbadala..

Hili swali haliwezi kupata jibu sahihi kutoka kwa wale wanaounga mkono HIV/AIDS hypothesis.

3.nadharia zilizotangulia kupinduliwa na nadharia mpya.

Mkuu hebu tujikumbushe hapa chini;

i/.Christopher Columbus alidharaulika sana kwa kusema dunia ni mviringo mbele ya kundi la watu walioamini kwamba dunia ni bapa katika miaka ile.Hivi sasa ukweli unajulikana kwamba dunia ni mviringo.

ii/.Galileo Galilei alishutumiwa na kanisa miaka ile kwa kusema dunia inazunguka jua.Hivi sasa ukweli unajulikana kwamba dunia ni kweli inazunguka jua.

iii/.Miaka mingi imepita ambapo watu duniani walikuwa wanajua kwamba kulikuwa na galaxy moja tu(milky way).Lakini baada ya ugunduzi wa telescope yenye nguvu ya Edwin Hubble(1920's),dunia sasa imefanikiwa kujua kwamba kuna zaidi ya galaxies bilioni 2.

iv/.Miaka ile ugonjwa wa pellagra uliwekwa katika kundi la 'infectious' diseases,lakini baadaye alitokea daktari mmoja masikini tu akathibitisha kwamba pellagra sio 'infectious' bali unasababishwa na ukosefu wa vitamini B(niacin).Daktari huyu alipingwa sana lakini baada ya miaka kupita na yeye kufariki dunia,uthibitisho wake ukaja kukubalika na wanasayansi wengine.Mpaka sasa inajulikana hivyo kisayansi kwamba ukikosa vitamini B(niacin) utapata pellagra.

v/.Miaka ile kule Japan watu wengi walikufa kwa ugonjwa wa SMON ambao ulidhaniwa kwamba ni 'infectious',lakini Prof Tadao Tsubaki alikuja kuthibitisha kwamba SMON ulisababishwa na sumu ya madawa yaliyokuwa yakitumika kuzuia kuharisha.Kuanzia hapo ile 'infectious theory' ilitupiliwa mbali.

v/.Sasa hivi kuna 'magonjwa' kadhaa ambayo yana nadharia feki kama ya hapo juu.Magonjwa hayo ni SWINE FLU,BIRD'S FLU,EBOLA na HIV/AIDS.SWINE FLU na BIRD'S FLU tayari imeshakubalika kwamba tulidanganywa.

Sasa bado EBOLA na HIV/AIDS.Ni suala la muda tu kwa jamii kujua ukweli kwamba EBOLA na HIV/AIDS ni magonjwa feki.Sina wasiwasi na hilo kabisa.
 
mkuu Deception hebu sema kidogo tulidanganywaje kwenye swine flue na bird flue.. naomba nitangulie kuomba radhi maana najua ni nje ya mada
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kabla sijakujibu, naomba niseme kitu kimoja, unasema nimekazana na Duesberg, huyu ndiyo denialist wa kwanza ku question hypothesis ya HIV/AIDS mwaka 1987. Kwahiyo Huwezi kuzungumzia HIV/AIDS opponents bila kumtaja Duesberg.
Mkuu hapa unanipa mashaka kidogo kama wewe ni msomaji wa vitabu na mfatiliaji wa mambo, na huu ndiyo ugonjwa wetu waafrika. Na pili unanipa mashaka kama unafahamu historia ya UKIMWI ulianzaje huko Amerika.
Tatu unaonesha wazi , uko upande wa HIV/AIDS defendants kwasababu wewe ni medical expert tu na huwa unapima watu huko kwenye maabara. Ila haupo upande wa HIV/AIDS defendants kwasababu labda uli think independently na kuchambua facts kati ya hizi group mbili zinazokinzana, yaani Defendands na Opponents wa HIV/AIDS hypothesis then ukaamua kuwa upande gani.
Kwanza Duesberg ameshaandika vitabu vingi tu kikiwemo cha “INVENTING AIDS VIRUS” hiki kitabu kimeandikwa Technically . Nakushauri kakitafute ukisome, na pia vitabu vyake hivi vingine ;
'AIDS; Virus or drug induced?' 'Infectious AIDS: Have we been misled?'
Duesberg baada ya kuquestion hypothesis ya HIV/AIDS na kufanya research yeye na denialists wenzake walisema AIDS inasababishwa na Non-Infectious Factors na walikuja na DRUGS INDUCED/AIDS hypothesis. Baada ya wao kufanya research zao, waligundua kuwa AIDS hai behave kama viral epidemiology disease, na sio ugonjwa ambao ulikuwa unampata kila mtu huko amerika, waathirika wengi walikuwa ni wanaume kuliko wanawake na hususani watu kutoka kwenye makundi hatarishi kama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja na watumiaji wa dawa za kulevya.
Kuhusu KOCH POSTULATEMimi naamini KOCH POSTULATES. Ndiyo maana nakwambia wewe sio msomaji na mfatiliaji wa mambo. UKIMWI umeweza kumeet postulate moja tu katika KOCH POSTULATES . Hebu tuchambue KOCH POSTULATES kwa faida ya watu hapa tuone;

  1. The microorganism or other pathogen must be present in all cases of the disease./ kiumbe/kirusi Lazima kipatikane katika matukio yote ya ugonjwa huo.
Hapa kwenye postulate no1 HIV imefeli :
Asilimia 10-20 ya wagonjwa wa UKIMWI hawana HIV kabisa. Na pia Ni kiasi kidogo tu cha HIV, kwa kawaida virusi mfu (dormant), ndiyo vinaweza kupatikana kwenye miili ya watu wenye UKIMWI.


  1. The pathogen must be isolated from the diseased host and grown in a pure culture/
Lazima mbegu ya kirusi pekee itoke kwa mwenyeji na kukua na kuwa kirusi binafsi.

Hapa kwenye postulate no 2 HIV imefaulu :

Hapa HIV imefaulu-katika baadhi tu ya watu sababu ya kiteknolojia.
Kiasi kikubwa cha tishu za seli zinahitajika ili kupata HIV. HIV pia kinahitaji mchakato wa kikemikali ikiwa ni pamoja na kuamka, kinyume chake, kiasi kikubwa cha virusi walioamshwa wanaweza kupatikana pamoja na virusi wengine.


  1. The pathogen must cause the same disease when injected into a new healthy host / kiumbe/kirusi Lazima kisababishe ugonjwa ule ule sawa wakati kimedungwa kwa mwenyeji mwingine mwenye afya.
Hapa kwenye postulate no3 HIV pia imefeli:
HIV havisababishi UKIMWI katika majaribio kwa wanyama kama sokwe.
Kwa kuongezea pia Wahudumu wa afya ambao kwa bahati mbaya huambukizwa HIV wakati wakitimiza majukumu yao mara chache huugua Ukimwi isipokuwa kama ni watumiaji wa madawa ya kulevya.


Sasa Robert Gallo mwenyewe hakubaliani na hizi postulates, anasema ziko out of date na morden science. Magonjwa mengi ambayo yamepuuza kanuni za Koch nadharia zake zimefeli, na yote yamekuwa proved kuwa non-infectious diseases mfano Kiseyeye, beriberi na smon.

Na kuhusu eveidence za HIV/AIDS nimezisoma na za denialists nimezisoma that’s why niko upande wa Denialists baada ya kuthink independently na kuchambua facts.
Mkuu ndiyo maana nakwambia wewe sio msomaji na huijui background ya AIDS, huwezi kuisoma background ya AIDS bila kukuta research ya kansa ikiwa haijaguswa. Nilipozungumza kansa kama kweli ni mfatiliaji na msomaji usingeanza kuja na aina za kansa hapa, Robert Gallo aliclaim kwamba kansa aina ya Leukemia ilikuwa ikisababishwa na retrovirus, ungekuwa unafahamu usingeniuliza hayo maswali kwamba sijui HPV inasababisha shingo kizazi na mengineyo. Wewe huijui background ya AIDS zaidi ya kuwapima watu kwenye maabara.
Na kuhusu virus kuwa transmitted kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, sijasema kwamba virusi hawezi kuwa transmitted. Kuna njia nyingi tu virusi wanaweza kuwa transmitted na Virusi aina ya retrovirus efficiently transimission yao ni kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto (perinatal) kuliko njia ya kujamiana.

Kuhusu hoja zangu kubase kisiasa huo ni mtazamo wako kwasababu umejifungia kwenye chupa na unaamini ulichosoma darasani ndiyo mwisho wa elimu.
Yes exactly! Sijakataa kwamba wewe ni doctor, kwani aliyempasua mtu kichwa badala ya mguu kwani naye ni nani?? Mbona unaanza kutishia watu nyau?
Narudia tena, Yes! Exactly wewe ni doctor wangu but wewe ni doctor wangu kwasababu una cheti cha udaktari kutoka chuo flani na sio kwamba uko competent. Na pia ni doctor wangu kwasababu ya matokeo ya mfumo mbovu wa elimu. Nothing More.
 

Kwa mtindo huu hatuwezi kufika mwisho,na ndio maana napenda kutumia msemo unaosema 'Experience is the best teacher' wa mdau mmoja.Huwa nasisitiza sana watu waingie mtaani na kwenye vituo vya afya wajionee wenyewe,wafanye uchunguzi wao wenyewe ili waweze kuthibitisha kati ya maelezo yetu sisi tunaopinga na ninyi mnaokubaliana na HIV/AIDS hypothesis ni kundi gani wanaeleza ukweli.

Vinginevyo hapa tutakesha bila kufikia mwafaka,njia sahihi na yenye kutoa majibu sahihi bila chenga ni kuingia mtaani kufanya 'internship',zaidi ya hapo watu watajaza server tu humu,vimeshaongelewa vingi,mwenye kusoma ameshasoma,sasa twende mtaani na kwenye vituo vya afya.

Wewe na mimi tumeshaongea vizuri kwamba mimi nataka ku prove kitu mbele ya macho yako,nipe nafasi hiyo.Nimeku PM,hujanijibu bado.

Nina nia ya dhati,na ninataka watu wajue kwamba mimi sibabaishi na sibahatishi.Kuona ni kuamini,maneno matupu hayakidhi haja,twende mtaani na kwenye vituo vya afya tukafanye 'internship'.Hakuna suluhisho sahihi kama hili.TWENDE MTAANI NA KWENYE VITUO VYA AFYA TUKAONE KINACHOTOKEA,NA KAMA UKIPENDA HUKOHUKO NITAJIDUNGA HUYO HIV MNAYEMWOGOPA MBELE YA MACHO YAKO ILI WEWE UWE SHUHUDA.

Baada ya theory,practical hufuatia,sasa mbona tumeganda kwenye theory pekee?
 

Yes! ni kweli naona kama ni mchezo wa paka na panya tu.

Unabishana na mtu hata facts za deanilist hajawahi kuzisoma, so anachojua yeye kwamba denialist wanasema HIV haisababishi Ukimwi alafu basi, but hawataki kujua why walikuja na critics na kitu gani kinasababisha UKIMWI kutokana na facts zao.

Deanilists wamechapisha scientific papers nyingi ambazo ziko peered review, wameandika vitabu zaidi ya 100 lakini unabishana na mtu hawajawahi kusoma hivi vyote na kupima facts.

Mm nadhani watu wamepata knowledge ya kutosha, mwenye upeo akachimbe. Kwanza akasome background ya ugonjwa wa ukimwi, asome facts za HIV/AIDS Defendants, then asome facts za denialists alafu ajiongeze.

BUT THE TRUTH WILL STAND FOREVER. Na huko tunapoelekea UKIMWI unaenda kuishia hewani tu, maana washaanza kusema ukimwi wa siku hizi eti sio mkali kama wa zamani....This is ridiculous.
 

Nakuelewa sana mkuu, na naelewa na yako ya dhati ku-improve afya za watu. Ni jukumu letu sote, na jukumu la kila mtu kuhakikisha kuwa afya zetu ziko salama. Na kwa neno
"salama " namaanisha hata wanaotuhudumia katika matatizo yetu ya afya ni watu sahihi na salama. Yes experience is the best teacher, Lakini kama tunapingana kisayansi basi tuongee sayansi. Everyone has experience katika jambo fulani, unfortunately experience alone does not guarantee success!! One may be doing things the same way, because of experience,, but it does not mean he is doing the right way because of experience. Science has nothing to do with experience, it's about facts, and facts are outcomes of scientific research,, not one but many!! I will not cross into your confort zone.. the zone of experience, but I will also not just watch you step into my open zone of science and not challenge you, because the facts remain as facts though possibilities remain endless. Mimi na wewe tuna intention moja, but we take different paths. Now, whether our destination is the same or not, science will always remain as science,, na mimi nimekula kiapo kuprotect the interest of my patients, in the name of science ... the open book!!
Nitarudi pm, and truly nataka kuona kazi zako na wagonjwa wako. no offense given, no offense taken . Peace
 
Unayo yaongea niliwahi msikia Thabo Mbeki akizungumza
sikuelewa....ina maana wanao lazwa muhimbili hawana UKIMWI?
au UKIMWI ni nini?
UKIMWI upo. Sintofahamu ni juu ya msababishi wa UKIMWI. Inasemekana 'HIV' akaangushiwa jumba bovu na wakubwa wa dunia kwa manufaa yao.
 
NAKUFATA NA HUKU

Mi nishasoma maelezo yako mengi.
Kwa sasa nataka tufunge vitabu,makala,majarida na machapisho.

Twendeni katika Uhalisia wa Mambo.

Namuomba Deception na nipo seriuos kwa hili TUKUTANE KISHERIA TUKIWA NA SECURITY.

NIMU INJECT DAMU YA MGONJWA WA UKIMWI JAPO 1CC kisha tumpe Muda wa miezi sita aje ATOE USHUHUDA WA AFYA YAKE ili TUTHIBITISHE KUWA KWELI UKIMWI SIO ZAO LA HIV INFECTION.

NAMBA YANGU NI 0714 565 885.
 

Hehe, I see unaanza kufanya retaliation!! Basically unanirudisha kule kule ambapo nimepatolea maelezo. Mbona hizi hoja nimejibu? Tena kwa link nzuri inayoelezea kila hoja na jibu Lake? Nimekuuliza kuwa how do you explain such overwhelming evidence juu ya HIV AIDS, mbona hujibu? pia, research zote zilizotolewa reference katika article niliyowapa kwani zimefanywa na wamarekani ama pro-HIV activists pekee? Kwanini tunakuwa wagumu kukubali matokeo ya tafiti?

Hoja ya kwamba HIV ku-faulu postulate namba 2 sababu ya teknolojia inazidi kunidhihirishia kwamba huelewi kwanini unanipinga. Kumbuka, nimekuwa nikisema sayansi haiko stagnant. Kama unakubali hivyo, inamaana unakubaliana na matokeo ya tafiti zinazoelezea vizuri zaidi concept ya HIV-AIDS zilizofanywa kupitia much improved technological know-how!!

Mimi pia nimesoma theories za denialists, na nazielewa. Still, I find them unfounded!! Naendelea kusoma zaidi.

Unajua kuhusu viral hepatitis B? Unajua kwamba some cases of this disease wanapewa ARVs? Au unadhani ARV ni kwa AIDS tu? Unajua ninachojua???

Kuhusu mimi kuwa competent or not hiyo ni sarakasi tu unafanya. Inamaana a competent doctor kwako ni yule anayekubali denialism ama anayewaza kama wewe tu?

Bottom line, u can never survive a single minute in my world, you are not me!! So just let me be... The doctor that you will always run to when you "run" out of answers as to why something is troubling your body!! I feel blessed, hope uzao wako utatoa madaktari pia. Peace
 

Nakukubali sana Mkuu. Hongera
 

Mkuu mkuyati og nimekuomba Ushauri katika post yangu #97 na #180 nimekuuliza swali naomba doctor uzipitie , samahani kwa usumbufu.....
 
Last edited by a moderator:




Mkuu nimepitia hiyo link wamejibu vitu vingi siwezi kujibu kila kitu hapa.

HIV/AIDS defendants baada ya kuona ya HIV imefeli katika postulate karibu zote za KOCH wamekuwa wakija na sarakasi kila miaka inavyosogea na hii yote ni kutaka kuficha utapeli juu ya hypothesis yao. Na kamwe usidhani kama HIV/DEFENDANTS watakubali kwamba HIV is not the cause of AIDS...Never. Kukubali ni kula matapishi yao.

Kuhusu wewe kusoma theories za denialists na kuzielewa umeanza kusoma juzi nahisi. Na ndiyo maana kuna swali uliniliuliza ambalo lilithibitisha kwamba wewe sio msomaji na mchimbaji wa mambo. Uliniluliza “mbona Duesberg ameshindwa kusema nini chanzo cha AIDS?”

Naona unanipeleka kwenye somo la ARVS, huko ndiyo usiguse kabisa, na huko kwenye hiyo biashara ya ARVs ndo inafanya wewe kuendelea kuwa Doctor na kuwa upande wa HIV/AIDS defendants. Kwasababu ndiyo chakula chako kilipo.

Kutokuwa competent sio tusi, usipanic. Na sijasema au sijalazimisha tufanane kimawazo. . Na kama wote tungefanana kimawazo kwenye hii dunia, maendeleo ya elimu yasingefika hapa leo hii.

Kauli ya kusema wewe utaendelea kuwa doctor wangu ni ya ulevi tu. Ulimaanisha kwamba kwa vile wewe ni doctor vyote unavyovijua na ulivyofundishwa ukiwa darasani ni sahihi.

Yes! Ni kweli siwezi kuwa wewe. Na wewe huwezi kuwa mimi.
 

1.Uliniluliza “mbona Duesberg ameshindwa kusema nini chanzo cha AIDS?” ..

That Right there proves that Doctor hajasoma theories za denialists.

2.Naona unanipeleka kwenye somo la ARVS..

Hapa nilishatoa uthibitisho kwa lugha nyepesi sana ili kila mtu aelewe kwamba ARVs ndizo zinazosababisha AIDS kwa wale wanaozitumia.Kuna reply moja nimeelezea vizuri sana hii.

Sasa kuhusu nini ni chanzo cha AIDS,nitaweka scientific paper hapo chini ili doctor aisome kama kweli anataka kujua.Nadhani visingizio kwenye suala hili kwamba ARVs ndizo husababisha AIDS kwa wale wanaozitumia vitakuwa vimeisha.Na kwa wale wenye AIDS lakini hawatumii ARVs,kuna sababu nyingi sana lakini sio HIV,scientific paper hapo chini imeelezea hayo yote.


Vinginevyo,tunabaki palepale kwamba kuona ndio kuamini.Mkuu mzee wa kigonzile mimi nilishasema mwanzo kwamba kila mtu ana makabrasha yake anayoyaamini,ndio maana nataka twende kwenye evidence zinazoonekana.Sasa mkuu tulia,niachie hii kazi mimi, nitakupa marejesho,nimeshawasialiana na doctor kufanya kazi fulani ambayo ni muhimu kwa ajili ya ushuhuda.Kama ni kumnyanyua mtu aliyezidiwa na ARVs,kama ni kujidunga damu yenye 'HIV',haya yote niachie mimi.

It's just a matter of time.


 

Attachments

Last edited by a moderator:

Samahani kwa kuchelewa kukujibu. Maelezo yako yako sahihi, na naomba nitoe ufafanuzi kidogo.

Kwanza, dawa za ARV ziko tofauti tofauti hufanya kazi kwa njia tofauti. Kuna zile zinazozuia kirusi kuingia ktk cell, kuna zinazozuia kirusi kilichoingia kwenye selli kuweza kuteka engine ya seli, kuna zinazozuia kirusi kilichoteka engine ya seli kutengeneza material zitazozaa virusi wengine, kuna zinazozuia virusi wengine waliotengenezwa ndani ya cell kuweza kupasua kuna ya cell na kutoka nje ya cells kama kirusi kamili, kuna zile zinazozuia celli hii inayotoa virusi kuweza kutoa virusi wenye nguvu. Dawa hizi hutumika in combination ili kuleta maximum effect.

Kuhusu kujibadili kwa kirusi, hizi huwa ni change ndogo ndogo katika outer layer ambazo kirusi anaweza kufanya, kuepuka effect ya immunity ya mwili kudetect kirusi na kukiangamiza. Lakini, nature ya kirusi hubaki vile vile, kinachobadilika sanasana ni "kiumbiumbi" cha nje ambacho husaidia ku avoid detection. Kumbuka, nimesema ARV haziko 100% effective, hivyo kuna baadhi ya virusi wanaescape kazi ya dawa na kuzaliana. Pia, kuna virusi wanauwezo wa kujibadili ku-counter act effect ya dawa, hii tunaita resistance. Naomba ufungue link hii hapa chini kwa uelewa zaidi. Imeandikwa kwa lugha nyepesi sio ya kitaalamu sana

HAPA
 
Last edited by a moderator:

usionge vitu usivyo vijua deception siyo mtu wa kwanza ku critisiz swala la ukimwi.kuna hotuba ya Thabo Mbeki aliyekuwa rais wa south afrika aliwahi kufanya hvyo.
 

ebola ni ugonjwa feki hata mtoto mdogo aliyopo liberia analijua hilo acha kutoa mfano wake.
 
usionge vitu usivyo vijua deception siyo mtu wa kwanza ku critisiz swala la ukimwi.kuna hotuba ya Thabo Mbeki aliyekuwa rais wa south afrika aliwahi kufanya hvyo.
Achana nae kilaza huyo!
Ye ni mfuatiliji wa Gazeti la Sani, mwache akacheze anako chezaga huko.
 
usionge vitu usivyo vijua deception siyo mtu wa kwanza ku critisiz swala la ukimwi.kuna hotuba ya Thabo Mbeki aliyekuwa rais wa south afrika aliwahi kufanya hvyo.

Kwahiyo thabo mbeki ni dokta.? Maana hapa ni madokta ndio wana reason. Yeye deception always yuko ku critisiz ma dokta na kuwadharau kuwa hawajui kitu. Pia anajifanya anadharau elimu ya western na wakati huo huo anakesha kusoma paper zao. Hiyo ni nini........kuja kudanganya watu kuwa eti kajichoma damu yenye ukimwi. Nini hasa lengo lake . Kutafuta umaarufu na wateja ajipatie kipato
 
Achana nae kilaza huyo!
Ye ni mfuatiliji wa Gazeti la Sani, mwache akacheze anako chezaga huko.

Sawa Na wewe unayesoma daily mail au standard nenda kachukue damu yenye ukimwi ujichome halafu ulete report. Au nenda pale ambiance au kangaroo club kabige kavu wale machangudoa then utuletee report
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…