H1N1
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 4,217
- 1,579
Ukimwi upo dunia nzima ..........je malaria ipo dunia nzima? Je USA au UK au Germany kuna malaria?
Kwa hiyo ukiwa dunia nzima. Ina maana ni muhimu kwetu wakati malaria inatuangamiza ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimwi upo dunia nzima ..........je malaria ipo dunia nzima? Je USA au UK au Germany kuna malaria?
Mkuu mbona kama unageuza mambo, UKIMWI upo ila sababu ya UKIMWI si HIV hapo ndiyo Denialists na Defendants wa hypothesis ya HIV/AIDS wanapokinzana.
zipo aina nyingi za ukimwi: ukimwi kama ukimwi na upungufu wa kinga mwilini.
ukimwi: unaweza kusababushwa na chakula, autoimmune states katika mwili na matatizo mengine kama mionzi nayoweza kuua aina fulani ya cells zinazozalisha cells nyingine
upungufu wa kinga mwilini: unasababushwa na vvu huitwa acquired immono-deficiency syndromes na upungufu wa kinga wa kawaida nje ya ukimwi huitwa immuno defficiency. pia kwenye vitabu vingi immuno defficiency inajitegemea kama topic na haiunganishwi na AIDS
Mkuu, hapa sasa nimepata elimu mpya kabsa, kwamba kuna AINA NYINGI za UKIMWI, including:
(a) UKIMWI wa kawaida (Immuno defficiency). Ukimwi huu unaweza kusababushwa na chakula, autoimmune states katika mwili na matatizo mengine kama mionzi nayoweza kuua aina fulani ya cells zinazozalisha cells nyingine;
(b) Upungufu wa kinga mwilini (AIDS). Ukimwi huu ndo unaosababishwa na huyo kirusi wa HIV.
Napata elimu mpya kabsa hapa. Na kwa maana hii sasa, kumbe hoja za mkuu Deception zinalalia hapo kwenye (a) tu, yaani Ukimwi wa kawaida ambao ni ''Immuno defficiency''. Hehehe this is very interesting to follow-up!
Sasa mkuu pakamwam , nielimishe zaidi ktk hoja ifuatayo:
So, mtu mwenye huo Ukimwi wa kawaida (yaani Immuno Defficiency) anaugua magonjwa tofauti na magonjwa ya Upungufu wa kinga mwilini (yaani AIDS)?? Thus, kuna utofauti wa magonjwa specifically kwa kila aina ya Ukimwi ?? Ama magonjwa ni yale yale (the same) kwa hizo aina mbili za Ukimwi ??
CC: mkuyati og .
anaugua tofauti ingawa inategemea na chembe za kinga ziliathirika. fuailia utaona kuna mahali nimetaja magonjwa ambayo yako katika immuno deficiency state. inategemea na magojwa. fuatilia post mahali fulani utaonna magonjwa na unawez kwenda kuyagugo
Mkuu Eiyer , knowledge mpya hii hapa kaka, kumbe tuna AINA mbili za UKIMWI, msome huyu learned brother hapa:
Nami nikahoji hivi:
Learned brother akanijibu hoja yangu namna hii:
Brazil , london, india, thailand, USA .........kote huko kuna ukimwi . Je huko nako ni africa. Sema ukimwi wa africa unakuwa mkali zaidi kutokana na uchumi unaochangia lishe duni
Mkuu, Ukimwi (upungufu wa kinga mwilini) upo, lkn hausababishwi na HIV.Ukimwi upo dunia nzima ..........je malaria ipo dunia nzima? Je USA au UK au Germany kuna malaria?
zipi aina nyingi za ukimwi. ukimwi kama ukimwi na upungufu wa kinga mwilini....
Mkuu mbona kama unageuza mambo, UKIMWI upo ila sababu ya UKIMWI si HIV hapo ndiyo Denialists na Defendants wa hypothesis ya HIV/AIDS wanapokinzana.
...huyu jamaa kama anaamini ukimwi haupo na yeye ameweza kusaidia wagonjwa wa ukimwi, afanye utafiti wa kutosha, aupele kwenye baraza la tafiti au hata NIMR yaani national institute on medical research
vinginevyo anaweza kushtakiwa na watu kama mimi na pia na watu wengine watakaochukua uongo wake na kuutumia mwisho wa siku waathirika....
Mkuu sijawahi kusikia kuna UKIMWI wa aina mbili tofauti maishani mwangu na hapa nina miaka 30+,hili nimelisikia hapa kwa hawa majamaa wanaojiita madaktari na kiukweli nasikitika sana kuwa na watu wa aina hii,Mungu jalia hii serikali inayowafanya hawa kuangalia afya za watanzania iondoke madarakani maana tiutakufa sana
Hawa watu hawasemi ni kwanini kwenye utafiti wa mwaka 1984 hawakuchukua matokeo ya wengi na wakachukua matokeo ya wachache,ni utafiti wa aina gani huu? Hawa madaktari wanasema eti huo ni utafiti wa kizamani,huyu daktari anadhani kwamba wote hapa ni wajinga kama yeye,ni logic gani walitumia hao watu wa "kizamani" kusema HIV ndio sababu ya UKIMWI ambayo leo bado ni valid halafu kwenye utafiti huo huo ulioleta matokeo haya haya uonekane umesema uongo kwenye mambo mengine
Kama utafiti umefanyika wakati sayansi haijaendelea kama leo hii ina maana kwamba kuna uwezekano utafiti wote ulidanganya na kama kuna mahali haukudanganya waseme ni kwanini
Unachukua watu 100 kwa mfano unawafanyia vipimo kujua chanzo cha ugonjwa wanaoumwa unakuta watu 40 wana aina fulani ya virusi halafu unakuta watu 60 wanaougua ugonjwa ule ule hawana ho virusi halafu unahitimisha kuwa vile virusi walivyokutwa navyo watu 40 ndio chanzo cha ugonjwa unaowasumbua watu wote 100 bila kujali wale 60 ambao ni wengi ambao hawana hivyo virusi
Miaka 30 baadae unasema kwamba huo ufatiti ni wa kizamani,hivi kama ni wa kizamani kwaninbi usitumie akili kwa kusema kuwa unaamua kukataa kuwa virusi vilivyodaiwa kusababisha maradhi ya wale watu sio kweli bali inawezekana ikawa ni kitu kingine na badala yake unaamua tu kukubali matokeo lakini ukitakaa mkinzano wa kimantiki wa idadi,ambayo kwenye utafiti ni muhimu sana?
Unataka bado tukupe wagonjwa wetu uwatibu wewe?
Hapana kwakweli.....
Napata mawazo ya kuanza kutumia miti shamba tu kwenye maisha yangu yaliyobaki maana hawa madaktari ni hatari kuliko hata maradhi tunayoyapata....
zipo aina nyingi za ukimwi: ukimwi kama ukimwi na upungufu wa kinga mwilini.
ukimwi: unaweza kusababushwa na chakula, autoimmune states katika mwili na matatizo mengine kama mionzi nayoweza kuua aina fulani ya cells zinazozalisha cells nyingine
upungufu wa kinga mwilini: unasababushwa na vvu huitwa acquired immono-deficiency syndromes na upungufu wa kinga wa kawaida nje ya ukimwi huitwa immuno defficiency. pia kwenye vitabu vingi immuno defficiency inajitegemea kama topic na haiunganishwi na AIDS
....imekuwa ndefu mno na ngumu kufuatilia.
... Sasa tunarudi tena kwenye hoja ya oooh inamaana kuna UKIMWI wa aina tofauti wakati kwa lugha yetu hii ya kiswahili ni kama tumeshakubaliana kuwa UKIMWI ni ile hali ya upungufu wa kinga ya mwili unaosababishwa na maambukizi ya virusi ambavyo tayari vinajulikana.
Facts for HIV;
A very clever virus which has managed to manipulate its existence by binding into the host DNA machinery to the extent that it is difficult to eliminate it/fight it unless you sacrifice your own cells. Also ana replicate (zaliana) very slowly jambo linalofanya kukaa kwa mtu mmoja kwa muda mrefu sana bila kutambua kuwa mtu huyo anacho.
Kinachofanyika kwa sasa ni kusuppress replication, aka Anti-retro viral drugs (ARVs) hizi zinazuia replication...aka kuzaliana kwa kirusi.
Unajua mkuu,walioanzisha nadharia ya HIV/AIDS wanajua wazi mikanganyiko iliyopo kuhusu dhana hii,ndio maana wanakuna vichwa kutunga nadharia nyingine za uongo ili kurubuni akili za watu na kuwafanya wasiwe na mashaka na suala zima la HIV/AIDS.Mifano;
1.Watu waliopima HIV+ kwa miaka mingi sana lakini hawaugui hata kama hawatumii ARVs huitwa CARRIERS.
2.Wanandoa wanaoishi pamoja muda mrefu lakini mmoja ni HIV+ lakini mwingine ni HIV- huitwa DISCORDANT COUPLES.
3.Baada ya kuona watu wenye huyo HIV wanaugua kwa viwango na kasi tofauti katika maeneo tofauti duniani wakaja na nadharia ya HIV-1 na HIV-2.
SWALI:
Je,mimi niliyejidunga damu ya mtu alipima HIV+ na baada ya muda mrefu nilipima HIV- watatumia nadharia gani kujibu huu mkanganyiko?Inabidi tuwaite WHO waje Tanzania kunifanyia uchunguzi.Ha ha haaa,kweli knowledge is power.
mkuyati og ni kiswahili hakina msamiati wa kutosha au vichwa/bongo za waswahili hazijaweza kufikiri kufikia pale ambapo wengine wamefikia na kutengeneza msamiati wa kile walichofikuiri ?Bro, najua wewe ni mwelewa na unapenda kujifunza zaidi. Njia sahihi ya kujibu hoja ni kutoa hoja ila kama nilivyosema mwanzo hii ishu ya HIV - AIDS ni Pana sana. Ugumu mwingine ni juu ya lugha, kiswahili hakina misamiati sahihi na ya kutosha kuelezea yote yanayopasa kuelezewa kwa usahihi Bila mkanganyiko. (ref. Mkanganyiko wa ukimwi wa HIV na "ukimwi mwingine"). kwa kubeza," understandably", umeita watu humu "learned brothers" sio kama complement kwao, Bali kama njia ya kuonyesha dharau.
Sasa, hoja hujibiwa kwa hoja. Conspirators humu wameibua hoja zao kwa kujifunza kupitia uelewa wao wenyewe,, Lakini pia kwa kutumia sources za mtandaoni.
Sasa basi, kwako wewe na wale wote ambao understandably wana doubt kwamba HIV haisababishi AIDS, naweka proof beyond reasonable doubt kwamba HIV husababisha AIDS.
FUATILIA HII LINK HAPA, KAMA UMEKUJA THIS FAR NAAMINI WEWE SIO MVIVU WA KUSOMA, MAANA WEWE NI LEARNED BROTHER, PA KINGEREZA KILICHOTUMIKA NI RAHISI KWAKO YEYOTE KUELEWA.
PROOF THAT HIV CAUSES AIDS:
www.niaid.nih.gov/topics/hivaids/understanding/howhivcausesaids/pages/hivcausesaids.aspx
sorry nimeshindwa ku-add link moja kwa moja maana natumia simu. Please copy hyo "link" uipaste kwenye searchbar ya device yako ili uweze kuifungua na kusoma. Nikipata muda na PC nitarekebisha.
NB: pamoja na kueleza kwanini HIV inasababisha AIDS, pia article hii inajibu maswali yote juu ya conspiracy za ukimwi. Maswali na hoja zote zilizo humu jamvini majibu yake ni ndani ya article hii, swali kwa jibu Lake.
mkuyati og ni kiswahili hakina msamiati wa kutosha au vichwa/bongo za waswahili hazijaweza kufikiri kufikia pale ambapo wengine wamefikia na kutengeneza msamiati wa kile walichofikuiri ?
Nasema hivi kwa kuwa hata mjadala juu ya matumizi ya kiswahili kufundishia chekechea hadi chuo kikuu, kuna watu tena wasomj kabisa wanalaimu msamiati wa lugha ya kiswahili kutojitosheleza kama kwamba akili inakopwa kutoka kwenye lugha.
Kwangu Mimi Fikra za aina hiyo ndicho kikwaza cha maendeleo kielimu iwe utabibu au nyingine yoyote.
Kama hakuna msamiati na kwamba wenye lugha hawajafikiri kuhusu jambo au nadharia husika na kutafuta msamiati mwafaka...
Mkuu multikasuku , thanks sana learned brother kwa ufafanuzi wako wa kitaalaamu. Nazidi kujifunza mengi sana kuhusu hili dubwana HIV/AIDS.
Hapo kwenye BLUE: Ni mtaalaamu (MD) mwenzako ndo katupa hiyo knowledge kwamba kumbe kuna AINA mbili za UKIMWI, refer quote yake nimeiweka hapo. Too bad learned brothers wenyewe mnakanganyana kwenye hoja zenu!
Hapo kwenye RED: Umeeleza na nimeelewa kwamba kirusi wa HIV akiingia mwilini anajishikiza kwenye T-Cell, yaani T-Cell ndo host wa HIV, kisha kirusi huyo anaanza kuzaliana (to replicate) taratibu over years, na kisha virusi hao huanza kuziua izo host T-Cells ambazo ndo kinga yenyewe ya mwili. Ukaeleza kuwa, hivyo basi ARVs zinafanya kazi ya kuzuia hao virusi wa HIV kuzaliana, thus ARVs' function is to stop the HIV from replicating!
SWALI 1: Je hizo ARVs zinafunction kivipi (how) ili kuzuia hiyo 'replication' ya HIV ?? Achilia mbali suala la kumuua/kumuangamiza
kabsa uyo kirusi, coz najua utajibu kwamba 'ana-mutate'. Ni vizuri utupe mechanism kabsa
SWALI 2: Provided that HIV lazima ajihost (aingie) kwenye T-Cell; Provided that it is difficult to fight it unless you sacrifice your own cells; JE katika kuzuia/kufight hiyo HIV replication, ARVs hazidhuru kabsa T-Cells kwa namna yoyote ile ??
SWALI 3: If wewe mwenyewe umekiri kwamba ''it is difficult to eliminate/fight it unless you sacrifice your own cells'' , Sasa ni nini hasa kinachokufanya ukatae/ubishe kuwa ARVs ni fatal zinaua kinga na kusababisha UKIMWI ??
Ni maswali mepesi kabisa ambayo by common sense yana tija kubwa, na wala sio kubeza! Kwakweli mimi ambae ni layman ktk medical expertise, maswali haya yananifikirisha sana.
CC: Eiyer , Deception , mkuyati og , pakamwam , H1N1 .
Mkuu multikasuku , thanks sana learned brother kwa ufafanuzi wako wa kitaalaamu. Nazidi kujifunza mengi sana kuhusu hili dubwana HIV/AIDS.
Hapo kwenye BLUE: Ni mtaalaamu (MD) mwenzako ndo katupa hiyo knowledge kwamba kumbe kuna AINA mbili za UKIMWI, refer quote yake nimeiweka hapo. Too bad learned brothers wenyewe mnakanganyana kwenye hoja zenu!
Hapo kwenye RED: Umeeleza na nimeelewa kwamba kirusi wa HIV akiingia mwilini anajishikiza kwenye T-Cell, yaani T-Cell ndo host wa HIV, kisha kirusi huyo anaanza kuzaliana (to replicate) taratibu over years, na kisha virusi hao huanza kuziua izo host T-Cells ambazo ndo kinga yenyewe ya mwili. Ukaeleza kuwa, hivyo basi ARVs zinafanya kazi ya kuzuia hao virusi wa HIV kuzaliana, thus ARVs' function is to stop the HIV from replicating!
SWALI 1: Je hizo ARVs zinafunction kivipi (how) ili kuzuia hiyo 'replication' ya HIV ?? Achilia mbali suala la kumuua/kumuangamiza
kabsa uyo kirusi, coz najua utajibu kwamba 'ana-mutate'. Ni vizuri utupe mechanism kabsa
SWALI 2: Provided that HIV lazima ajihost (aingie) kwenye T-Cell; Provided that it is difficult to fight it unless you sacrifice your own cells; JE katika kuzuia/kufight hiyo HIV replication, ARVs hazidhuru kabsa T-Cells kwa namna yoyote ile ??
SWALI 3: If wewe mwenyewe umekiri kwamba ''it is difficult to eliminate/fight it unless you sacrifice your own cells'' , Sasa ni nini hasa kinachowafanya mkatae na kubisha kuwa ARVs ni fatal zinaua kinga na kusababisha UKIMWI ??