V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)


Doctor Aragon, thanks sana kwa majibu yako yenye kuelimisha aina za Immuno Deficiency. Mkuu nina hoja ya nyongeza.

Hapo kwenye RED na BLUE:

Mfano angalia scenario hii... Mtu X ana Immuno Deficiency ilosababishwa na HIV. Mtu Y ana Immuno Deficiency ilosababishwa na sababu zingine.

JE, watu hawa wataugua the same AIDS? Ama watatofautiana kimagonjwa?

Namaanisha hivi: Magonjwa yatokanayo na ''Immuno Deficiency caused by HIV'' ni TOFAUTI na magonjwa yatokanayo na ''Immuno Deficiency caused by other factors'' ???
 
Last edited by a moderator:


Mkuu color.bash , I guess wewe ni Daktari by profession. Nafurahi sana tunapopata michango ya madaktari katika mada hii. Shukrani kwa maelezo yako hayo yenye elimu ndani yake. Hapo kwenye BLUE umenielimisha kitu ambacho nilikuwa sikijuwi kabsa. Thanks a lot mkuu.

Hapo kwenye RED, nina hoja naomba unijibu:

Kwa vile Immuno Deficiency ni Upungufu/Ukosefu wa Kinga Mwilini (Ukimwi) bila kujali nini kimesababisha... kama ulivyoeleza;

Kwa vile AIDS ni mkusanyiko wa magonjwa mtu anaanza kuugua baada ya kupata Immuno Defficiency... kwa tafsiri yangu binafsi;

JE, kuna utofauti wa magonjwa hayo kati ya mtu mwenye Immuno Deficiency caused by HIV na mtu mwenye Immuno Deficiency caused by other factors?
 



Asante Mkuu Kaveli

Kwanza naomba nirekebishe kuwa mimi si daktari. Ninayoyaeleza yametokana na ufahamu wangu katika kuvisoma na kuvipitia vitu katika majarida na source mbalimbali juu ya masuala ya afya. Huku kwenye HIV/AIDS nilijikuta natafuta elimu na taarifa pana zaidi baada ya rafiki wangu wa karibu kugundua kuwa amepata maambukizi. Hivyo katika kumsaidia nilizama katika kusoma vyanzo mbalimbali (ikiwemu uzi huu) kujua mengi ili niweze kumpa msaada wa ushauri na taarifa baada ya yeye kukosa tumaini. Nikiri tu, udadisi wangu umenisaidia hata mimi kuondoa sehemu ya giza kuu juu ya HIV/AIDS

Kufuatana na nilichokisoma kuhusu immunodeficiency, kwa uwelewa wangu ni kwamba immunodeficiency inayosababishwa na HIV huwa na tabia ya kupelekea magonjwa nyemelizi tofauti ikilinganishwa na immunodeficiency itokanayo na sababu nyingine.

Ifahamike kwamba immunodeficiency hutofautiana kulingana na aina za seli za kinga ya mwili zilizoharibiwa mwilini. Hivyo basi kwa kuwa maradhi nayo hutofautiana na jinsi yanavyoingia mwilini na jinsi mwili unavyotengeneza kinga, ndivyo navyo aina za maradhi au athari zinavyotofautiana baada ya kinga ya mwili kupungua/kuisha

Nitumie lugha ya picha...

....JWTZ lina vikosi mbali mbali...anga, ardhini, majini nk. Hivyo basi kufuatana na udhaifu wa vikosi hivi au tuseme nguvu na mbinu za adui; aina ya mashambulizi au tuseme mbinu za adui kulishambulia taifa pengine hata kushindwa kwa vita kutakuwa na tofauti kubwa. Miili yetu nayo haitofautiani katika kujietengenezea na kujiwekea kinga. Hata maradhi nayo yanatumia mbinu tofauti tofauti katika kuathiri miili yetu.

I hope mfano huo unakidhi maelezo mafupi. Pamoja na yote i stand to be corrected!
 
naomba kuuliza swali. me sio mtaalamu. kama ukimwi ni feki inakuaje mtu anamuambukiza mke alikadhalika mtoto. na wote wanakufa.
 
Sitaisahau h.i.v/aids ambayo ilinifanya nizae mtoto mmoja kwa kubahatisha. Kisa naogopa ku-test na partner wangu. Mie nalaani sana janga hili. Aidha sina pa kushtaki.
 
Ni kweli jamaa hoja zake zina mashiko asa ukifikiria nje ya box wazungu kwa ngono ni balaa lakini ukimwi kwao ni adimu

mimi bado naendelea kufatilia sana kwa makini uu uzi mana naona kuna vitu ambavyo sikua navijua kuhusu HIV ila nmeanza kuvijua nyuma ya pazia
 

kaka binafsi naona ni mmoja kati ya watu wanaoendele kutoa uthibitisho kwa facts juu ya hii dhana najua uku ni watu wanaojielewa usingeweza mutunga tu kitu ili kupotosha watu
 
Last edited by a moderator:
Sitaisahau h.i.v/aids ambayo ilinifanya nizae mtoto mmoja kwa kubahatisha. Kisa naogopa ku-test na partner wangu. Mie nalaani sana janga hili. Aidha sina pa kushtaki.

mkuu Ighombe, thanks kwa kisa mkasa chako ambacho kinaonekana ni halisi. Ebu share nasi zaidi mkasa huo:

(a) Nini hasa kiliwafanya muogope ku-test HIV?
(b) ''Mlizaa mtoto mmoja kwa kubahatisha''. Hapa unamaanisha nini?
(c) ''Unalaani janga hili la HIV/AIDS, na huna pa kushtaki''. Kwa nini mkuu?

Karibu sana mkuu. Pengine kupitia mkasa wako, wasomaji wanaweza kujifunza jambo.
 
kaka binafsi naona ni mmoja kati ya watu wanaoendele kutoa uthibitisho kwa facts juu ya hii dhana najua uku ni watu wanaojielewa usingeweza mutunga tu kitu ili kupotosha watu
Hili suala la HIV AIDS lina utata mwingi, mmojawapo ni huo wa kwangu..

Kwa sababu yule dada wanamfahamu kuwa anatumia ARVs, na mimi mtaani wananiita marehemu mtarajiwa, ila majibu yangu ni Negative, naendelea kusubiri huenda window period yangu ni miaka kadhaa.
 

hahahahaha sizani ungekua umeshapata kk
 
Jamani kulikoni mbona uzi wetu umeganda, ikiwa unatoa somo zuri na istoshe tulikuwa hatujafkia conclusion.
 
Nimeona hii kitu ni kheri ni share na wengine.

Cure for HIV reportedly 3 years away | Fox News


dada Sky Eclat , thanks a bunch for sharing the link to the Article. I have checked it top to bottom.

It has been now a tendency of these scientific medical studies on HIV to always pop-up with a very 'promising' insights towards the so called 'CURE for HIV'. But in reality, it looks that there is still a long way to go to realize the so called 'cure for HIV, and highly probable this will be a 'life-time' cure hunt due to the hidden agenda behind the scene since day one of this deadly nightmare. People are making good life out of this thing, if you know what I mean!

Otherwise, let the world keep day-dreaming of having a 'long shot' to kick the so called 'HIV' from the medics. It is said that HOPE sustains life. As such, let this sick planet carry-on being in 'hope-mode' .

On a serious note, always be risk-conscious and remember to 'play' safely coz STIs are real.

-Kaveli-
 
Jamani kulikoni mbona uzi wetu umeganda, ikiwa unatoa somo zuri na istoshe tulikuwa hatujafkia conclusion.


mkuu uzi unaendelea kama kawa.

Katika hili jambo, naona kila mtu anafikia conclusion yake binafsi. Ukitaka a compromised 'consensus' on HIV and/or AIDS, utasubiri sana mkuu.

Soma, elewa, elimika.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…