V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)



Hii thread umeipitia yote from page one mpaka mwisho?

-Kaveli-
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu kaveli huyu katoka usingizini tumpuuze.


Hahaha mkuu, naona jamaa kaja moto kweli na 'assignment'. Hajuwi kuwa hiyo assignment aliyonipa, wajuvi wa mambo tayari weshacheza nayo sana humu.

Na nahisi hajasoma hata robo ya uzi huu.

-Kaveli-
 
Hahaha mkuu, naona jamaa kaja moto kweli na 'assignment'. Hajuwi kuwa hiyo assignment aliyonipa, wajuvi wa mambo tayari weshacheza nayo sana humu.

Na nahisi hajasoma hata robo ya uzi huu.

-Kaveli-
Hahahaha unacheza pata potea nimemwambia asome kwanza awe na idea ili nije nianze kujibu kwanini hiv tuna detect antibodies huwezi uliza antibodies while you know nothing about it nimegusia lymphocytes kwasababu ndizo zinatengeneza antibodies ok mi sio kichaa kavel na deal na hayo mambo asee sijatoka usingizini wala sijakurupuka nimempa apate idea so nilitegemea atakuja na jibu tuanze swali la kwanza mpk la mwisho ila poa nitatoa majibu sio issue ok
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu kaveli huyu katoka usingizini tumpuuze.
Asee sijatoka usingizini kwanza naomba utambue nimemwambia muhusika asome japo apate idea ili nitakapogusia hayo mambo awe anaelewa kidogo hiv nina deal nae kijana sema ina elimu ndefu na inahitaji kuwa na uelewa wa terms ambazo zitatumika ila poa nitatoa majibu soon ili mjue nimesoma uzi wote ok
 
Sawa mkuu. tuletee huo uzi tuusome
 

swali refu mpka unaeza ukasahau points of view,
anyways nitajaribu juzungumza kwa kile ninachokifahamu kuhusu hayo makitu
a) sio kweli vifaa vyote vinatumia antibodies isipokua tu vile vya serological tu ndo ambavyo vifanya kazi na kutoa majibu kwa reaction ya antibodies na antigen.na vinasifa ya kua cheap,no need of highly proffesiona skills,takes less time.
viko vingi kama UPT vile vya mimba, MRDT vile vya malaria n.k
b)serological test haziwezi ku isolate a virus directly jappo vipo vipimo vingine kama PCR- Polymarase chain reaction ambacho kinaweza kuisolate DNA of a virus from a sample na hivyo ku detect vurus.
c) There number of ways by which our bodies responds to foreign bodies not only infections, basing on the question nikua if our immunity system is strong enough then our bodies are free from diseases since our immunity system will be able to deffend the body and get rid of all i call foreign bodies-bacterias,virus,fungus n.k
if our immunity system is weak the any disease may get into our bodies without any resistance.
Under normal circumstances antibodies works in the lock and key system,thats they are very specific kwa antigen ilionekana yaani mdudu akiingia mwilini mwili ukamdetect unamfanyia kitu kama scaning ya kumjua vizuri mdudu huyo then zinatengenezwa cells(antibodies) specifically kwa ajili ya kumuua mdudu husika tu na akisha uliwa zile cell zinakua useless ila huwa kuna memory inabaki next time akirudi huyo mdudu its just a reactivation of the antibodies then anashughhulikiwa faster.
CD4-Cellular differentiation 4. hizi ni cell za mwili ambazo hufanya kazi ya kuspot yaaani hutoa taarifa za mdudu alieingia ili ashughulikiwe,zipo CD8 hizi huitwa pia Natural killer cells zenyewe zinafigh na kwaida CD4 huwa nyingi zaidi ya CD8 japo kuna watu wenye anomaly ambao CD8 ni nyingi zidi na hivyo huwa hawapati magonjwa sana. Back to question HIV huwa anashikizwa na structures za cells za CD4 zinazojulikana CXR4 na XXR5 kama sijazichanganya , na baada ya hapo virus anapata access ya kuingia ndani ya iyo cell na kufanya replication ya kutosha then cell hiyo ya CD4 inakufa ndo maana CD4 huwa zinapungua. sina uhakika sana na Viral load but nahisi pia ni specific pia.

naomba kuwasilisha wakuuu
 


Ahsante mkuu kwa mchango wako kwenye uzi huu. Mie naomba nikuulize mambo mawili tu kwenye hayo maelezo yako...

Hapo kwenye (b): Je unamfahamu mgunduzi wa hicho kipimo PCR? Je mgunduzi huyo wa PCR anasemaje kuhusu hypothesis ya HIV/AIDS?

Hapo kwenye (c): nakunukuu "if our immunity system is strong enough then our bodies are free from diseases since our immunity system will be able to deffend the body and get rid of all i call foreign bodies-bacterias,virus,fungus n.k... "
So mtu mwenye enough strong immune system can naturally kill and get rid of HIV?

-Kaveli-
 


"...huwezi uliza antibodies while you know nothing about it... ".
So mtu kuuliza jambo ni mpaka kwanza awe na idea nalo? Ni nini sasa essence ya kuuliza?
Wewe ni mtaalam gani ambaye huwezi kumuelezea jambo layman kwa lugha rahisi akaelewa?
Unapata uvivu kwenye fani yako. Pole sana dokta.

-Kaveli-
 
Mgunduzi wa hiyo PCR kiukweli simjui japo niliona video fulani ivi na sikuitilia maanani.
No hawezi ku resist, the reason nikua Virus has the higher ability to replicate.Once virus has entered our body particularly HIV they quickly undergo Geneticall transcription whereby hiv is RNA and human genome is DNA so the virus quickly changes to RNA DNA double stranded then inakua DNA double stranded na kisha inajishikisha kwenye DNA za mtu na inaanza kutengeneza viral parts from human genetical make up as it is then containig viral part. kumbuka wakati kirusi kinaingia kilikua ni RNA sooo antbodies zilitengenezwa specifically kwaajili ya RNA ambapo kimeshabadilika nakua RNA DNA double stranded tena recruitment of fighter cells inafanyika specifically kwaajili yaRNA DNA ambapo tiari anakua amebadilika na kua DNA Double stranded............soooo the only thing kinachoweza kufanyika hali ya resistance kwa hiv ni kukosekana kwa zile structures za aattachment kwenye CD4 cells CXR4 NA XXR5.

NI MTAZAMO WANGU HUO MWENYE ZAIDI NA ALETE TUJADILI
 
Nimeshindwa kuielewa lugha yako manake unachanganya kiingereza na kiswahili.


Katika lugha yeyote ile duniani, 'code mixing' sio dhambi.

Hata hivyo, sio lazima kila mtu aelewe. Waachie wanaoelewa.

-Kaveli-
 
Katika lugha yeyote ile duniani, 'code mixing' sio dhambi.

Hata hivyo, sio lazima kila mtu aelewe. Waachie wanaoelewa.

-Kaveli-
Hata hapa sijakuelewa kwa kweli jaribu kutumia lugha moja pekee , kama mimi ninavyoandika hapa sichanganyi na lugha ya kiingereza wala kifaransa na ndio maana katika vitabu maalumu vya masomo huwezi kukuta kitu cha namna hiyo , jaribu tena kunielewesha juu ya ujumbe uliandika hapo juu kwa lugha moja pekee.
 


Sio lazima uelewe kila ukisomacho. Waachie wanaoelewa.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…