asante kwa swali mkuu.
kama nilivyosema mwanzo, hapa tatizo ni lugha na interpretion.
labda nikupe historia kidogo. miaka ya 70 ambapo HIV ilikuwa haijagundulika bado, term AIDS halikuwepo. ila immunodeficiency syndrome(s) zilikuwepo. term AIDS ilikuja baada ya kuingia na kugundulika kwa kirusi cha HIV. term "aquired" inamaanisha kwamba mtu anapata immunodeficiency kutokana na madhara ya kirusi cha HIV kuingia mwilini,, aquisation of the HIV. term AIDS inamaanisha development of diseases baada ya kushuka kwa kinga ya mwili kunakosababisha na mdudu HIV. term AIDS only applies to diseases that attack the body due to weakened immunity caused by the HIV virus, and not otherwise. hapa ndipo katika article niliyoweka inaonyesha kuwa watu wengi(more than 98%) of all with immunodeficieny have HIV virus. prevalence ya sababu nyingine za immunodeficiency is very very low, less than 1%. pia, moja ya arguments tulizojadili ni kuwa kuna watu wenye upungufu wa kinga ila hawaumwi. hiyo article imesema kwamba, magonjwa nyemelezi yako much much more prevelent in patients wenye kinga ndogo ya mwili na virusi vya ukimwi pamoja, as compared to wale wenye kinga ndogo ya mwili bila virusi vya ukimwi. naamini umeisoma vizuri article.
tukibaki kwenye historia, miaka ya mwanzo mwa 80 wakati HIV- AIDS haijaingia tanzania, neno UKIMWI halikuwepo(i stand to be corrected). UKIMWI ni neno specific kumaanisha magonjwa yanayosababishwa na upungufu wa kinga kutokana na kirusi cha HIV. same applies to AIDS.
mtu unapopata maambukizi mapya tunasema umepata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ukimwi. unapoanza kuugua sasa baada ya kinga kushuka, tunasema umepata maradhi ya UKIMWI, kwa maana ya maradhi yatokanayo na kushuka kinga sababu ya HIV.
kuhusu upungufu wa kinga ambao hausababishwi na HIV, neno ukimwi hutumika kimazoea tu, lakini maana halisi halikidhi.
mfano, upungufu wa kinga unaosababishwa na leukemia, huitwa leukemia associated immunodeficiency ,, kiswahili chake sasa sijui. ila nadhani inaweza kuwa translated,, mimi sio mtaalamu sana wa kiswahili sanifu. nadhani unaona ugumu ulipo, ila concept ziko wazi!
mwisho, pia "syndrome" may mean a group of diseasea that progress/run/occur togather.
Mkuu hujanitag ila naomba nijibu. Principles ya dawa nyingi(sio tu ARV) ni kuzuia wadudu kuzaliana kwa njia tofauti tofauti. Hapa siongelei dawa ambazo huua wadudu moja kwa moja, maana tatizo kubwa la mdudu HIV ni kwamba a functioning and effective HIV virus anakaa ndani ya celli zenye CD4 positive receptor, maana hizo ndio celli zinazopokea mdudu huyu. Hivyo basi, huwezi kuua mdudu ambaye yuko ndani ya celli Bila kuua celli yenyewe. Sijui unapata maana hapo? Lakini pia, kila seli ina uwezo wa kuishi kwa muda fulani tu specific, halafu inakufa. That applies to all cells you know, pamoja na zile zinazojenga mwili wako. Hivyo basi, ARV zinapunguza na uwezo wa kirusi ku-infect new uninfected cells, ama zile infected cells kutoa virusi zaidi wenye uwezo wa ku-infect new uninfected cells. Kumbuka, kila cell ina muda fulani wa kuishi ambapo ukipita muda huo celli hufa. Kwa maana hiyo basi, kama kirusi kitashindwa kuzaliana kwa spidi inayotakiwa ili concentration yake ipande kwenye damu, basi itafika wakati kitakufa (natural death, pamoja na death due to immune mechanism of the body) chukua mfano :mmezaliwa sita (6) ktk familia, wanne mkapata matatizo ya ugumba hivyo mkashindwa kuzaa, wawili tu ndio wakazaa watoto. Mtoto mmoja akawa tasa, mwingine mzima. Itafika wakati mkazeeka na kufa, ama mkafa kwa sababu mbalimbali ikiwepo ugumu wa maisha je, familia yenu itabaki na watu wangapi baada ya miaka say 40 or 50? Concept hii inajaribu kueleza virusi vinapungua vipi mwilini, kama hujaelewa feel free to ask.
Ila fahamu kwamba dawa hizi haziko 100% effective, some viruses will always survive and infect new cells,, ila namba ni ndogo ndogo ndogo saana. That's why watu wanaotumia dawa sahihi vizuri, kuna kipindi ukipima HIV viral load utakuta it's almost undetectable. Hii haimaanishi kwamba virusi hakuna, ila vinakuwa kidogo sana kwenye damu, ila vingi vimebaki kwenye reservoirs (very inactive infected cells, with long half life) kwenye bone marrow na lymph nodes.
scientists wanahangaika kutafuta dawa ambayo itazuia kabisa virusi hivi kuweza ku-infect new cells, ama kuua infected cells kabla hazijatoa new infective HIV viral "cells", Bila kuua seli zingine ambazo hazina virusi (cells of the same type, eg. Cells carrying CD4 Receptor) maana ukiua hizi selli zote, utapata severe immunosuppression ambayo hata ukipata mafua tu yatakuwa so severe in way that yanaweza kukuua.
Kuelewa zaidi kwa lugha rahisi, click link hapo chini
HOW ARVs WORK
Mkuu
mkuyati og , salaamu sana kiongozi.
Shukrani sana mkuu kwa maelezo yako ya kitaalaamu na katika lugha nyepesi kabsa. Nimekuelewa vizuri sana kaka, na mpaka umenipre-empty baadhi ya mambo ambayo nilitaka kuuliza. Hakika nimejifunza mengi ambayo nilikuwa siyajuwi kabsa. Mfano nimeelewa kuwa kumbe HIV akishazibitiwa na ARVs, hatimae hufikia wakati huyo HIV & infected T-Cells vinakufa vyenyewe 'natural death' kama sifa mojawapo ya living things, na ndo hapo Viral Load husoma 'undectetable'!
Sasa mkuu, nina mambo kadhaa ya msingi kabsa ili tumalize huu mjadala ambao ni very educative. My sincere appologies if nakuchosha, lakini lengo langu ni tueleweshane kwa hoja na hatimae tupate common understanding. Kwa heshima zote, nakuomba sana mkuu ujibu hoja zifuatazo kwa understanding yako na kwa mujibu wa taaluma yako, tuwe honest na tusiwe bias. PLEASE naomba ujibu kwa mtililiko wa kila hoja (per question), na sio generally. Karibu:
1. HIV TEST hupima
antibodies dhidi ya aina fulani za protini ambazo husemekana zinatoka kwa HIV.
LAKINI protini hizi huweza pia kutolewa na hali mbalimbali mwilini kama vile magonjwa kama
TB,
Malaria, n.k. Na pia hali ya
mimba (kwa wanawake) huweza sababisha mwili utoe protini hizo. JE hii ni KWELI au UONGO ?
2. Wataalamu wanasema kwamba vipimo cha HIV ni very sensitive & specific to HIV.
LAKINI wataalaamu hao hao pia wanakiri uwepo wa
false HIV+ au
false HIV- !
Na ni kweli kuna watu waliopima HIV+ halafu baadaye wakaja kupima HIV-.
JE ni mambo gani ambayo husababisha false positive ama false negative?? Je kwa mazingira hayo, unakubali kwamba vipimo vya HIV are NOT sensitive/specific to HIV?? Au kama wewe unakana kwamba hakuna false positive wala false negative, tuambie.
3. Viral Load. Wataalaamu wanasema kwamba kipimo cha viral-load hupima idadi ya HIV waliopo mwilini, ndo maana mnaweza kujua kuwa viral load ipo ktk undetectable level. Utata uliopo ni kama aidha Kirusi wa HIV anapimika kwa muonekano kabsa (isolation) ama haonekani kwa muonekano.
JE, wewe kwa experience yako ya kitabibu, tuambie umewahi kumuona kabsa huyu kirusi HIV kwa kutumia kipimo chochote kile?? kuwa tu mkweli. Kama kirusi huyo anaonekana kabisa kwa muonekano ktk vipimo, please tunaomba utuwekee photograph/picha yake hapa (sio mchoro) ili tumuone. Na kama kirusi huyo haonekani kwa muonekano, JE ni vitu gani sasa vina-determine idadi ya HIV katika hicho kipimo cha Viral Load ?? yaani mnapimaje idadi ya wadudu ambao ata vipimo havioni ??
4. RetroViruses. Wataalamu wanasema kwamba HIV ni kirusi aina ya retrovirus.
Je familia hiyo ya retrovirus, ni wote wana sifa ya kupenya na kuji-attach ndani ya mfumo wa kinga (to infect T-Cells)?? ama ni HIV pekee ndo ana sifa hiyo ya kushambulia T-Cells ??
5. Historia ya HIV/AIDS inaeleza kwamba ugunduzi wa HIV/AIDS ulitangazwa rasmi kwenye press conference iliyofanyika tarehe 23 April, 1984. Robert Gallo ndiye aliegundua na kutangaza kwamba HIV inasababisha UKIMWI. LAKINI alikwepa step moja muhimu sana ya
PEER REVIEW SCIENCE , yaan
uthibitisho wa pamoja wa wanasayansi kuthibitisha kwamba HIV ndiyo sababu ya UKIMWI.
JE, hiyo ni KWELI au UONGO? Kama ni KWELI, unadhani ni KWANINI aliruka hiyo step muhimu kabsa katika scientific inventions ??
6. Inasemekana kwamba ugunduzi huo wa Robert Gallo ulitokana na research iliyotumia
wagonjwa 93 wa AIDS! Kati ya hao
wagonjwa 93 tu,
only 44 AIDS patients tested HIV+''. Yaani research hiyo ilitoa matokeo kwamba wagonjwa 44 wamepima HIV positive, na wagonjwa 49 wamepima HIV negative!
JE, hiyo ni KWELI au UONGO?? Kama ni KWELI, hao wagonjwa 49waliopima HIV negative, ni kitu gani ambacho kilisababisha AIDS kwao? Na kwa kuzingatia standards za Research, wewe hupati shaka yoyote kabisa kwenye hizo findings za research ya R. Gallo ku-approve HIV = AIDS ??
7. Historia ktk medical science inaeleza kwamba miaka ya 70, Robert Gallo huyo huyo aliwahi kuibua hoja za kisayansi kwamba virusi hao hao aina ya retroviruses wanasababisha Cancer kwa binadamu. Lakini Peter Duesberg na wanasayansi wengine walikuja na scientific critics zilizochallenge madai ya Gallo. Gallo alishindwa kuprove madai yake scientifically. Hatimae ndiyo ikaja kuwa proved (hadi leo hii) kwamba Cancer si ugonjwa wa kuambukizwa (non infectious disease).
JE, hiyo ni KWELI au UONGO ? Kama ni KWELI, kwanini sasa unapinga scientific critics za wanasayansi wenzie juu ya hiyo research ya Gallo iliyo-approve HIV=AIDS ??
8. Denialist wa kwanza kuhusu HIV/AIDS hypothesis ni Dr. Peter Duesberg. Profesa huyu amedeal na retrovirus kwa miaka zaidi ya 30. Ni mtu wa kwanza ku map genetic structure ya retroviruses. Pia ni yeye ndiye aliyegundua genes ambazo zinasababisha Cancer, na hatimae ndipo ikawa proved kwamba kumbe Cancer sio ugonjwa wa kuambukizwa (non infectious diseases).
Link: Prof. Peter Duesberg: https://www.youtube.com/watch?v=xJXIbZxNLho
JE, hiyo ni KWELI au UONGO ? Kama ni KWELI, ni kwanini sasa mwanasayansi huyu (mwenye credibility kubwa ktk medical science) anapingwa sana na hasikilizwi kabsa kuhusu denialism yake kwenye HIV=AIDS ? Ama labda mtaalamu huyu amechanganyikiwa akili ndo maana hawamsikilizi kabsa wala ku-consider scientific-critics zake ?
9. Dr. Luc Montaigner (co-founder wa HIV) yeye mwenyewe anaeleza kwamba hakuna uthibitisho kuwa HIV anaua T-Cells. Prof huyu pia anasema kwamba if someone has 'good immunity', the body can get rid of the Virus in few weeks after infection! (NOTE:
Luc Montaigner ndio mgunduzi halisi ambaye data zake ziliibwa na Robert Gallo na kumfanya R.Gallo awe wa kwanza kutangazwa ndiye mgunduzi wa HIV) .
Link: Prof. Luc Montaigner: https://www.youtube.com/watch?v=PyPq-waF-h4
JE, mtaalaamu huyo hapo anasema UKWELI au ANADANGANYA ??
10. Prof. Kary Bank Mullis (profesa wa biochemistry na Nobel prize winner) yeye mwenyewe hakubaliani kwamba HIV anasababisha AIDS. Pia anasema hivi: "The only way to stop HIV/AIDS is to stop funding it". Profesa huyu ndiye mgunduzi wa kipimo cha HIV kinachotegemewa zaidi kiitwacho PCR.
Link: https://www.youtube.com/watch?v=IifgAvXU3ts
JE, profesa huyo anasema UKWELI au ANADANGANYA ?
11. DISCORDANT COUPLES. Wanandoa wanaoishi pamoja muda mrefu lakini mmoja ni HIV+ lakini mwingine ni HIV- !
JE, hili wewe unalisemeaje, ni kwanini hutokea hivyo ?
12. UKIMWI unaweza sababishwa na mambo yafuatayo:
Ulaji mbovu wa chakula (malnutriton); Ukosefu wa maji safi na salama; Utumiaji wa mara kwa mara wa madawa ya hospitali kama vile antibiotics, chemotherapy and/or radiations kwa wagonjwa wa cancer; Recreational drugs/madawa ya kulevya; Unywaji wa pombe kupindukia; Magonjwa ya kujirudia mara kwa mara; Ukosefu wa antioxidants; Msongo wa mawazo wa muda mrefu (severe Stress).
JE, hapo unakubali au unakataa ?
13. Wataalaamu wanasema kwamba Huwezi kupata TB mpaka kinga yako iwe chini/ishuke/ipungue (yaani uwe na ukimwi). Na Si watu wote wenye TB wapo HIV+, kuna wengine wanakutwa HIV- !
JE, hiyo ni KWELI au UONGO ? Kama ni KWELI, je hao wenye TB & HIV-negative, ni nini kimeshusha kinga zao za mwili ?
14. ARVs dosage. JE, mgonjwa hupewa ARVs tu pekeake? ama ni ARVs + medications zingine za kawaida??
15. ARVs. Dawa hizi hufanya kazi ya ku-fight huyo kirusi wa HIV. LAKINI huwa zina madhara yafuatayo kwa mtumiaji, yaani watumiaji wengi wa wa ARVs wa muda mrefu w
anakuwa hatarini kupata baadhi ya madhara yafuatayo:
Matatizo ya Moyo; Matatizo ya Ini; Matatizo ya Figo; Cancer/Saratani; Anaemia/Upungufu wa damu; Kupooza/Stroke; na Kisukari.
Link: ARVs side effects: https://aidsinfo.nih.gov/drugs/290/t...rate/0/patient
Link:
Soma warnings za ARVs hapa: Tenofovir Disoproxil Fumarate (Viread) | Patient Version | AIDSinfo
Link: ARVs side effects: https://www.youtube.com/watch?v=GokUme9x07E
Kwa ukweli wako na uzoefu wako kazini/hospitalini, JE hiyo ni KWELI au UONGO? Kama ni KWELI, unakubali kwamba ARVs zinasababisha UKIMWI ?
16. Tunaambiwa kuwa Duniani kote wanayasansi wanaendelea tirelessly kufikiria na kukuna vichwa ili kupata TIBA na suluhisho kamili kuhusu HIV/AIDS.
JE, kama kweli wana nia ya dhati kabisa kuutokomeza ugonjwa huu, ni KWANINI hawataki kabisa kuwasikiliza denialists wenye critics za kisayansi ? Why wasikae meza moja na kuwasikiliza labda pengine wanaweza kuibuka na suluhisho la ugonjwa huu?
17. There might be some other factors UNKNOWN TO SCIENCE ndo zinasababisha Ukimwi.
JE, what can you comment on this observation ??
Yangu ni hayo mkuu. Tupe majibu yako yenye mashiko kwenye hoja zote hapo juu, ili wasomaji wapate uelewa mpana kuhusu kitendawili hiki cha HIV/AIDS !
Natanguliza shukrani zangu za dhati, and I really appreciate your kind passion of sharing knowledge.
DARASA HURU. Karibuni pia wakuu:
pakamwam , multikasuku , Eiyer , Deception , H1N1 , everlenk , mzee wa kigonzile , Econometrician , Kaunga , mshikachuma