Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,317
- 1,320
Habarini wadau.
Wengi tunafahamu vita ya urusi na Ukraine isingedumu hata wiki Moja kama marekani na NATO wasingekuwa nyuma ya zelensky.
Lakini tumeshuhudia mazungumzo kati ya Trump na zelensky ya kutaka kusaini mkataba wa madini Ili kumaliza vita yalivyomzalilisha zelensky.
Ukiwa kama mfuatiliaji wa vita hii mpaka Sasa.
Je? Wewe ungekuwa ni mchekeshaji zele boy ungechukua hatua gani kati ya hizi?
Moja, kusaini mkataba wa madini na marekani Ili kumaliza vita.
Mbili, kiendelea kupigana na urusi mpakatone la mwisho.
Tatu, kumpigia magoti mwamba Putin Ili mambo yaishe.
Mimi ningekuwa zelensky nisinge kubaliana na marekani na NATO Tena Kwa chochote, Bali ningekimbilia urusi na kuomba hifadhi huko Ili kuwakomesha wanafiki wasipate chochote.
Wewe ungefanya Nini?