Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe ndio mjinga kabisa.Habarini wadau.
Wengi tunafahamu vita ya urusi na Ukraine isingedumu hata wiki Moja kama marekani na NATO wasingekuwa nyuma ya zelensky.
Lakini tumeshuhudia mazungumzo kati ya Trump na zelensky ya kutaka kusaini mkataba wa madini Ili kumaliza vita yalivyomzalilisha zelensky.
Ukiwa kama mfuatiliaji wa vita hii mpaka Sasa.
Je? Wewe ungekuwa ni mchekeshaji zele boy ungechukua hatua gani kati ya hizi?
Moja, kusaini mkataba wa madini na marekani Ili kumaliza vita.
Mbili, kiendelea kupigana na urusi mpakatone la mwisho.
Tatu, kumpigia magoti mwamba Putin Ili mambo yaishe.
Mimi ningekuwa zelensky nisinge kubaliana na marekani na NATO Tena Kwa chochote, Bali ningekimbilia urusi na kuomba hifadhi huko Ili kuwakomesha wanafiki wasipate chochote.
Wewe ungefanya Nini?
Napendaga sana kutaniana humu na huyu dogo mpumbavu adriz. Ila mods walinionionya niwache kuweka Nyau de Adriz ndo maana nimebaki kutumia N de A.Nitoeni ushamba kichwani mwangu hiyo ''N de A'' ni nini?
Nakutana nayo sana humu sielewi maana yake
Hao waliomchangia Kampeni? Na Mabilionea wengine wa right wings? Mfano Musk sasa hivi ana Guts hadi za kuingia Ofisi za Serikali na kuwakagua.Trump anatetea maslahi ya Corporate yupi
Sawa Simba aliyekuwa anakuomba mkae meza ya mazungumzo Ili muelewane na wewe ukajifanya nguruwe Kwa kuwategemea sungura na fisiYaani wewe ndio mjinga kabisa.
Yaani Simba mwenye njaa kali akuvamie kwenye makazi yako halafu uogope kuomba msaada kwa majirani zako kisa ni wanoko na wambeya halafu uamue kujisalimisha kwenye midomo ya Simba huku ukiamini atakuonea huruma!
Unayumba Jombi , makusudi hayo.Nitoeni ushamba kichwani mwangu hiyo ''N de A'' ni nini?
Nakutana nayo sana humu sielewi maana yake
Sitaki uondoke mapema ngoja nikuache USurvive kwa wiki moja then ni press button 🔘 yangu ya Mafia mode to start my 'vicious move' against youNapendaga sana kutaniana humu na huyu dogo mpumbavu adriz. Ila mods walinionionya niwache kuweka Nyau de Adriz ndo maana nimebaki kutumia N de A.
Yani liadriz linakera sana.
Akienda Russia nakutelekeza nchi atuwawa . Na aki sign mkataba na USA atauwawa maana amelisaliti taifa lake. Kiufupi muamuzi ni uwanja wa vitaHabarini wadau.
Wengi tunafahamu vita ya urusi na Ukraine isingedumu hata wiki Moja kama marekani na NATO wasingekuwa nyuma ya zelensky.
Lakini tumeshuhudia mazungumzo kati ya Trump na zelensky ya kutaka kusaini mkataba wa madini Ili kumaliza vita yalivyomzalilisha zelensky.
Ukiwa kama mfuatiliaji wa vita hii mpaka Sasa.
Je? Wewe ungekuwa ni mchekeshaji zele boy ungechukua hatua gani kati ya hizi?
Moja, kusaini mkataba wa madini na marekani Ili kumaliza vita.
Mbili, kiendelea kupigana na urusi mpakatone la mwisho.
Tatu, kumpigia magoti mwamba Putin Ili mambo yaishe.
Mimi ningekuwa zelensky nisinge kubaliana na marekani na NATO Tena Kwa chochote, Bali ningekimbilia urusi na kuomba hifadhi huko Ili kuwakomesha wanafiki wasipate chochote.
Wewe ungefanya Nini?
Kwa miaka mingi, alisifiwa kama shujaa. Kwa wengine, bado yuko hivyo. Sasa mambo yake yamefichuliwa.Mkuu
Tusaidie kumjua vizuri huyu zelensky. Tufumbue macho sio wote tunaomfahamu
Moderator hii commemt nzuri mnoo kwa manufaa ya wengine, iunganishe na uziKwa miaka mingi, alisifiwa kama shujaa. Kwa wengine, bado yuko hivyo. Sasa mambo yake amefichuliwa.
Hii hapa historia ya Ukraine na Volodomyr Zelenskyy ambayo hutosikia kwenye vyombo vya habari.
Zelenskyy hajawahi kuwa na karata ya maamuzi. Yeye si kiongozi fulani jasiri afanyaye maamuzi.
Bali ni mtu aliyekata tamaa, anayeng'ang'ania mamlaka katika utawala unaoanguka - unaotegemezwa kwa fedha za Magharibi, silaha na propaganda zao. Na huku Ukraine ikipoteza vita vya umamluki & vita halisi, anahofu.
Ukraine haikuwa mhusika huru katika vita hivi. Madalali halisi wako Washington, Brussels na London, wakicheza michezo yao ya siasa za dunia.
Vita hivi viliasisiwa ili kuidhoofisha Urusi. Ili kuelewa hilo, unahitaji kuelewa historia ambayo kamwe hawatokuambia.
Ukraine na Urusi zimefungamana pamoja kwa zaidi ya miaka 1,000.
Kiev, mji mkuu wa Ukraine, wakati fulani ikiwa moyo wa Warusi wa Kiev - jimbo kuu la kwanza la Slaviki - iliweka misingi ya Urusi yenyewe.
Jina lenyewe la Ukraine humaanisha ^nchi ya mpakani^ - ambayo ina maana ya mpaka wa Urusi.
Kwa karne nyingi, ilikuwa sehemu muhimu ya Himaya ya Urusi, siyo taifa fulani ^lililokandamizwa.^
Hata wakati wa enzi ya Sovieti, Ukraine haikutawaliwa - ilikuwa nchi muhimu kwa USSR.
Hata kiongozi wa Sovieti Nikita Khrushchev alikuwa Myukreni.
Wakati USSR ilipoanguka, Ukraine ilipata uhuru na Washington ikajiingia - siyo kuisaidia Ukraine, bali kuitumia kama silaha dhidi ya Urusi.
Marekani na NATO walimdanganya Gorbachev, wakiahidi kwamba hawatojitanua hata ^inchi moja kuelekea mashariki.^
Lakini NATO ikajiingiza Polandi na Mataifa ya Baltiki.
Ukraine ilikuwa tuzo ya mwisho ya NATO.
Nchi za Magharibi zilimwaga mabilioni ya fedha kwa Ukraine— kufadhili vikundi vya kisiasa vinavyounga mkono NATO, NGOs na vyombo vya habari ili kuunda taifa linaloipinga Urusi.
Mnamo 2004, CIA iliunga mkono ^Mapinduzi Mkakati,^ ikipindua uchaguzi uliomstahabu mgombea anayeunga mkono Urusi.
Mapinduzi halisi yalikuja mnamo 2014.
Rais wa Ukraine aliyechaguliwa kidemokrasia, Viktor Yanukovych, alikataa mkataba wa kibiashara wa Umoja wa Ulaya ambao ungeuharibu uchumi wa Ukraine.
Hilo halikukubalika Washington. Kwa hivyo walimwondoa kupitia mapinduzi ya kutengenezwa.
Kile kilichoitwa ^Mapinduzi ya Maidan^ hazikuwa harakati za raia.
Yalikuwa ni mapinduzi yaliyoungwa mkono na CIA—yaliyoratibiwa na maafisa kama Victoria Nuland.
Washington ilikuwa jeuri mno kiasi kwamba Nuland alinaswa hata kwenye simu iliyovuja, akimchagua kiongozi anayefuata wa Ukraine hata kabla Yanukovych hajaondoka.
Umati wenye vurugu ulioiteka Kiev hawakuwa waandamanaji wa amani.
Waliongozwa na vikundi vya Wanazi mamboleo kama Azov Battalion—vikundi vinavyosherehekea waziwazi washirika wa Nazi na kuvaa nembo za SS.
Makundi hayahaya ndiyo sasa yanapokea silaha za Magharibi.
Kisha utawala huo baada ya mapinduzi ukapiga marufuku lugha ya Kirusi - ukishambulia moja kwa moja mamilioni ya Waukraine wanaozungumza Kirusi washio upande wa mashariki.
Hapo ndipo Donbass & Crimea wakasema sasa imetosha.
Crimea ikapiga kura ya maoni - zaidi ya 90% walipiga kura kurudi Urusi. Donbass pia wakapiga kura ya kuwa huru.
Watu wa Donbass waliikataa Kiev - lakini Kiev haikutaka kuwaruhusu waende.
Badala yake, walianzisha vita vya kikatili dhidi ya watu wao wenyewe, wakiwafyatua raia kwa miaka minane.
Hasira ya Magharibi ilikuwa wapi? Haikuonekana popote!
Na vipi kuhusu Zelenskyy? Yeye ni nani? Je, ni kiongozi asilia ambaye hakutokea popote au alipandikizwa?
Imeripotiwa kuwa, mnamo 2020, Zelenskyy alikutana kisiri na mkuu wa MI6 Richard Moore.
Kwa nini rais wa nchi nyingine akutane na jasusi mkuu wa Uingereza badala ya waziri mkuu wake?
Je, Zelenskyy ni mali ya Uingereza?
Kulingana na ripoti mbalimbali, yeye binafsi analindwa na Waingereza, wala siyo wanausalama wa Ukraine.
Alipotembelea Vatikani, alimchunia Papa na kukutana na askofu wa Uingereza.
Unadhani nani mwingine alikuwa hapo? Richard Moore wa MI6 tena! Lazima hiyo ni bahati ilioje. Au siyo?
Kabla ya siasa, Zelenskyy alikuwa mchekeshaji na mwigizaji - alivaa uhusika wa rais kwenye onesho la TV.
Halafu, kwa msaada wa timu za Magharibi za mahusiano ya umma, nadharia ikawa ukweli.
Kampeni yake ilifadhiliwa na kibosire Ihor Kolomoisky, aliyekuwa akimiliki kampuni kubwa zaidi ya mafuta na benki nchini Ukraine.
Akiwa madarakani, kipaumbele cha Zelenskyy hakikuwa kupambana na ufisadi - ilikuwa ni kuhakikisha makampuni ya BlackRock & benki za Magharibi zinateka uchumi wa Ukraine.
Wakati huohuo, aliingiza mamilioni katika akaunti za nje ya nchi, na anadaiwa alinunua jumba la kifahari la dola 34M huko Miami pamoja na ghorofa huko London lenye thamani ya paundi nyingi.
Hakuna kitu ambacho kingeshangaza iwapo alifanya hivyo.
Kufikia mwaka 2022, NATO ilikuwa imeipa Ukraine silaha hadi kiwango kilichokubuhu, na Kiev ilikuwa imekusanya vikosi karibu na Donbass.
Urusi ilikuwa na chaguo:
Iache Donbass ikabiliwe na usafishaji wa kikabila;
Iache NATO igeuze Ukraine kuwa kambi la kijeshi;
Au,
Kuingilia kati.
Waliingilia kati, kama ambavyo mataifa mengine yangeingilia katika hali hizo.
Vyombo vya habari vikapiga kelele ^amevamia bila kuchokozwa.^
Lakini kujitanua kwa NATO, mapinduzi ya 2014, miaka minane ya vita dhidi ya Donbass - vita hivi vilichokozwa katika kila hatua njiani.
Ukraine ilitegwa kama chambo.
Huku Ukraine ikipoteza vita, Zelenskyy anatelekezwa.
Donald Trump alimwambia: ^Huna karata.^ Na yuko sahihi.
Vita hivi viliasisiwa. Ukraine ilihitaji Magharibi iingilie kati ili kushinda na hilo lingemaanisha kwamba VV3 visingeepukika.
Ni wakati wa ulimwengu kuamka ili kuutambua ukweli huo.
Vita vya Ukraine vilichochewa kimakusudi na nchi za Magharibi.
Zelenskyy ni kibaraka mwingine tu—muda wake unaisha... na Trump anajua hilo.
Kabla ya kuja na hili swali , ulitakiwa ufahamu chanzo cha hii vita.Habarini wadau.
Wengi tunafahamu vita ya urusi na Ukraine isingedumu hata wiki Moja kama marekani na NATO wasingekuwa nyuma ya zelensky.
Lakini tumeshuhudia mazungumzo kati ya Trump na zelensky ya kutaka kusaini mkataba wa madini Ili kumaliza vita yalivyomzalilisha zelensky.
Ukiwa kama mfuatiliaji wa vita hii mpaka Sasa.
Je? Wewe ungekuwa ni mchekeshaji zele boy ungechukua hatua gani kati ya hizi?
Moja, kusaini mkataba wa madini na marekani Ili kumaliza vita.
Mbili, kiendelea kupigana na urusi mpakatone la mwisho.
Tatu, kumpigia magoti mwamba Putin Ili mambo yaishe.
Mimi ningekuwa zelensky nisinge kubaliana na marekani na NATO Tena Kwa chochote, Bali ningekimbilia urusi na kuomba hifadhi huko Ili kuwakomesha wanafiki wasipate chochote.
Wewe ungefanya Nini?
Amina Mtumishi wa Mungu.Tubuni