Vaa koti la Rais Zelenskyy halafu niambie ungechukua hatua gani kati ya hizi?

mjinga mjinga zele aliyetaka kujiona shujaa kwa manufaa ya Europe na US, hawakutegemea Russia kudumu mpaka sasa.... baba yao US kaona kifuatacho WWW3....minyuklia kutumika
 
Ahsante Kwa maelezo mazuri,NAMI naungana na wewe Sasa zelensky ameshatumika na mda wake unekwisha hata akisaini mkataba wa madini na marekani Bado atauwawa tu. Na NATO,EU, marekani na zelensky wote wamejua mziki wa urusi SI wa kitoto.
 
Asante mzee Kwa uchambuzi mwanana
 
Akienda Russia nakutelekeza nchi atuwawa . Na aki sign mkataba na USA atauwawa maana amelisaliti taifa lake. Kiufupi muamuzi ni uwanja wa vita
Uwanja wa vita tayari Hali ni mbaya na anafahamu hatoboi
 
Akikimbilia urusi ataishia jela kwa uhalifu alioufanya kwa warusi na watu wake mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…