Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Kutuletea tu majanga ndani ya familiaBahati nzuri maombi yalimtimua mapeeeeema!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutuletea tu majanga ndani ya familiaBahati nzuri maombi yalimtimua mapeeeeema!!
[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Dota haya maneno unayatoa wapi! Nimecheka.
Kwakweli hili janga la kimataifa maana hata baba yako alinyoosha mikono juu, hadi kaamua kumdalalia.Kutuletea tu majanga ndani ya familia
Hiyo ndo mwaita French kiss ama?mxìiiuuu
Sikujui vipi wakati nakudaiFrom now on ukiniona pita kama hunijui nimeshagundua wewe si mtu mzuri kabisa
Unanidai nini? Af tunajaza post zisizo na maana kwenye uzi wa watu hebu tafuta kijiwe kingine uniambie unachonidaiSikujui vipi wakati nakudai
Teh teh..Douta una minenoNaona una nyota ya popcorn
Douta msameheHahaha CV yako ni mkaa, kiwi inaweza kuchafua?
Mi mwenyewe sielewi kwa kweli..Sijui kapata bwana Wa kizaramo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Dota haya maneno unayatoa wapi! Nimecheka.
Mentor kasema applications alizopokea zinatosha..Kinachoendelea hapa ni porojoUnanidai nini? Af tunajaza post zisizo na maana kwenye uzi wa watu hebu tafuta kijiwe kingine uniambie unachonidai
Mie nilikuwa nakuangalia tu ulivyoamua kujichoka!!Huyu mwanamke atakuwa mwanga..Mana sometimes nakaa najiuliza nilianzaje nashindwa pata jibu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mi mwenyewe sielewi kwa kweli..Sijui kapata bwana Wa kizaramo
Amesema wapi?Mentor kasema applications alizopokea zinatosha..Kinachoendelea hapa ni porojo
Hivi ile elimu ya msingi inaendana na hiki kiinglishi kweli!! Maana mie nazikumbuka picha za familia ya mr and mrs Daudi tu, ila lugha iliniwereva kwakweli.
Parking unataka kupafagia au? Hapa ni tuanzishe tu darasa la ujasiriamali, fursa hiyo. Na zile bustani ndo naanza kuzitengeneza Hapa, farming lazima
Oooh kumbe!! Kulima tena[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sasa mbona haujanitafsiria?Haha, huyu Mentor huyu, inabidi professional kabsa kujibu hili ombi. Cos ukikosea kidogo nje. Halafu sijui alisahau kuweka watu wapeleke na Cover letter pia. 🙂
Hapa namuwaza mkulima Heaven Sent sipati picha, sijui anahisi ni kulima nguruka!! Maana kwa kula huyu mtoto!!Kwa kujitoa ufahamu hamjambo.
Nimecheka! 😀
Sasa mbona haujanitafsiria?