Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Unaapply tena kivipi!! Kama alipatikana je?Haha itakuwa niligoma kuchujika. Ila si inaruhusiwa kuapply tena au? Hope it's not too late mweeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaapply tena kivipi!! Kama alipatikana je?Haha itakuwa niligoma kuchujika. Ila si inaruhusiwa kuapply tena au? Hope it's not too late mweeh
Si ndo hapo mwishoni nimewish isiwe too late (washadondokeana) ili niapply tenaUnaapply tena kivipi!! Kama alipatikana je?
Ooooh kumbe ni "wish"!!! Huwa wanasema adui mwombee njaa, hope palishaharibika sasa nafasi iko wazi.Si ndo hapo mwishoni nimewish isiwe too late (washadondokeana) ili niapply tena
Teh unashangaa nakatwa tena tehOoooh kumbe ni "wish"!!! Huwa wanasema adui mwombee njaa, hope palishaharibika sasa nafasi iko wazi.
Teh kweli nina nyota ya kusimamia birthdayWatu na nyota zenu za kukatwa teh!!
RRONDO alikukata na huku tena ukakatwa mama!! [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Shikamoo. ....Niacheni jamani...kupata mchumba humu ni kama chemchem jangwani!
Shikamoo. ....
Hahaha ungemkonyoza tu.Kuna jamaa humu anajiita Sent From Heaven bado kidogo nimkonyeze!
Hahahaaaa!! Mcheza kwaito mashuhuri.Teh kweli nina nyota ya kusimamia birthday
We si unataka malaika!! Mbona wenzio wanapata na tunahudhuria harusi!!!Niacheni jamani...kupata mchumba humu ni kama chemchem jangwani!
Hebu niache nilale....We si unataka malaika!! Mbona wenzio wanapata na tunahudhuria harusi!!!
Kwani nimekushika!!!Hebu niache nilale....
Usinipigie kelele. Alert zako zinaniamsha.Kwani nimekushika!!!
Tough luck...ratherAisee dogo langu sikuonaga hii.
Good Luck!
I know, gotta give a brother hope.Tough luck...rather
A lil' too late...I know, gotta give a brother hope.